Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe 25k kwa mwezi nikupe access ya Compactwakuu natumaini salama
naomba kama kuna member anataka kuuza account ya dstv now anione pm.
nahitaji kutumia ktk simu - please sitaki iptv za dstv
Njoo nikuunge nikupe details zangu za Dstv ulog in na uenjoy kila aina ya burudani ina zaidi ya chanel 150 kifurushi cha juu kuliko vyote chanel zote za michezo zinaifunguka na za kombe la dunia zote iwe za lugha ya kiswahili ama kifaransa ama kingereza ni wewe bei ni sawa na bureewakuu natumaini salama
naomba kama kuna member anataka kuuza account ya dstv now anione pm.
nahitaji kutumia ktk simu - please sitaki iptv za dstv
Hiyo quality si mbovu kupindukia?..Njoo nikuunge nikupe details zangu za Dstv ulog in na uenjoy kila aina ya burudani ina zaidi ya chanel 150 kifurushi cha juu kuliko vyote chanel zote za michezo zinaifunguka na za kombe la dunia zote iwe za lugha ya kiswahili ama kifaransa ama kingereza ni wewe bei ni sawa na buree na hulipi kila mwezi ni kila baada ya miezi 3 kuna nafasi kama 2 hivi malipo ni baada ya kazi ukiridhika na huduma unapewa mda wa kujiridhisha kama nusu saa ndio unalipia kwa mawasiliano 0756695846.
Chakufurahisha app ya Dstv haili kabisaa mb yaani unaweza set qwality ya picha utakavo ina option 5 za qwality ni wewe huwa natumia kuangalia mpira kwa full time kwa dakika 90 natumia mb 200 au 300 tu wakati app zingine dakika 90 unajikuta umetumia gb1 kabisaa au zaidi mfano kama app ya mobdro nk toka nmeifahamu hii dstv siwezi kutumia app yoyote nyingine maana zinakula bando hatari ila hii dstv tumia utakuja niambia nimekaa pale hivi.
Ndiyo mana nimesema. Naweka qwality ya pili kutoka mwisho low sio lowest kwangu mimi inanitosha ila kama unataka ipo hadi option ya 1080p yaani HD ni wew tuHiyo quality si mbovu kupindukia?..
Kuna vifurushi vya dstv..1k gb2 kwa masaa mawili..Unaangilia kwa quality ya 720p..atleast hii inaridhisha.
Nipe 25k kwa mwezi nikupe access ya Compact
Nipe 25k kwa mwezi nikupe access ya Compact
Yes hata mi nafasi ipo mkuu karibuMkuu hii bado ipo? Nahitaji