DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

Nishauri nilipie kipindi sasa
Sasa hapo inategemea unapenda program gani Mkuu, mfano Mimi huwa naridhika sana na series kwenye Mnet City, Super Sport 3 na vipindi kama cha Ellen kwenye VUZU so kwenye 69,000 kwangu ni burudani kabisa,unaweza kuanza na hicho then badae ukaongeza kifurushi........kwa sasa kufanya Installation ni 79,000/= kama sikosei.
 
Bila shaka Mkuu, japo unaweza usipate baadhi ya mechi zikiwa kwenye HD, kwa bei hiyo ya 69,000/=Super Sport ambazo ni HD ni 3,7,8 pia utapata 9,10 japo kama sikosei hizo sio HD.......ila khs Kombe la Dunia Nina uhakika utazipata zote......kwa uhakika zaidi unaweza kuwatembelea ofisini kwao watakupa full details mkuu khs yajayo.
 
Dstv wametoa ofa kuelekea world cup,kwa elfu 99 wanakufungia wenyewe na kifurushi cha bomba kwa miezi 2 bure,iko kifurushi utapata sp 10 na 4 ambacho kwa maelezo yao zitaonyesha mechi zote 64 za world cup
 
asante, ngoja nianze na cha 69,000 kama napata bbc, cnn , basi naidhika.
 
asante, ngoja nianze na cha 69,000 kama napata bbc, cnn , basi naidhika.
Poa poa chief, hizo zinapatikana poa kabisa......hata ykienda nunua dish watakupatia na brochure yao utaona package zao na bei.
 
Enzi za Tido Mhando TBC1 walikua na game moja kila wiki ya EPL. Baada ya Tido kusepa na program ikafa.
 
Mnaotamani Kujiunga na DSTV Vifurushi hivi hapa! Ni Sh. 19,000/= ,Sh. 39,000/=, Sh.69,000/= ,Sh.109,000/=, Bila kusahu hiki cha Sh.169,000/= ambcho ndicho natumia na shangazi yenu. Kwa Kifupi Vifurushi vyote vina number 9 kama kuna mtuu kakwambia tofauti ujue kasimuliwa hata kujiunga ni 79,000/=

 
Hapana kuanzia 69,000/=na UEFA 109,000 Ukilipa 169,000 ndo premium yaani unaona Channel za DSTV kwa ubora wa HD.
Ina mama Chanel zote zinakua ni HD mkuu? Hebu fafanua kidogo kuhus hilo.Alafu dstv exploler ni hasa? Bei yadekoda tupu ya dstv exploler ni ipi hasa
 
Mi nalipia dstv bomba sh. 19,000/= napata SS3,4,7,8,9,10,Blitz, ss12,fifa 2, ss maximo na nyingine nyingi. Movie zipo za kutosha kuanzia bongo,Nigeria, India na mtoni.
Mziki zipo chaneli za kutosha.
Series, documentary na comedy zipo za kutosha.
NB: SS3, 12 na maximo utapata baada ya kulipia kwa mara ya kwanza (baada ya kifurushi kuisha na kulipia tena).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…