Premium ni TSH 169,000/=Acha uwongo, vifurushi vya epl siyo 80000+ kama unavyosema, labda ulihadithiwa na jirani yako ambae naye alihadithiwa....huna dstv!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Premium ni TSH 169,000/=Acha uwongo, vifurushi vya epl siyo 80000+ kama unavyosema, labda ulihadithiwa na jirani yako ambae naye alihadithiwa....huna dstv!
Sasa hapo inategemea unapenda program gani Mkuu, mfano Mimi huwa naridhika sana na series kwenye Mnet City, Super Sport 3 na vipindi kama cha Ellen kwenye VUZU so kwenye 69,000 kwangu ni burudani kabisa,unaweza kuanza na hicho then badae ukaongeza kifurushi........kwa sasa kufanya Installation ni 79,000/= kama sikosei.Nishauri nilipie kipindi sasa
Wapo vizuri?Kwese anakuja kumfuta dstv Africa,wait and see...
Bila shaka Mkuu, japo unaweza usipate baadhi ya mechi zikiwa kwenye HD, kwa bei hiyo ya 69,000/=Super Sport ambazo ni HD ni 3,7,8 pia utapata 9,10 japo kama sikosei hizo sio HD.......ila khs Kombe la Dunia Nina uhakika utazipata zote......kwa uhakika zaidi unaweza kuwatembelea ofisini kwao watakupa full details mkuu khs yajayo.Safi kabisa mkuu, hapa nina swali je kifurushi hiki tutapata full cover ya World Cup?? Sitaki kukosa hata channel moja inayohusu World Cup. Maana nalipia cha juu yake ila maumivu yamekuwa makali na hii awamu sijui wanafaidika na nini sisi uchumi wetu kuyumba kiasi hiki.
asante, ngoja nianze na cha 69,000 kama napata bbc, cnn , basi naidhika.Sasa hapo inategemea unapenda program gani Mkuu, mfano Mimi huwa naridhika sana na series kwenye Mnet City, Super Sport 3 na vipindi kama cha Ellen kwenye VUZU so kwenye 69,000 kwangu ni burudani kabisa,unaweza kuanza na hicho then badae ukaongeza kifurushi........kwa sasa kufanya Installation ni 79,000/= kama sikosei.
Poa poa chief, hizo zinapatikana poa kabisa......hata ykienda nunua dish watakupatia na brochure yao utaona package zao na bei.asante, ngoja nianze na cha 69,000 kama napata bbc, cnn , basi naidhika.
sante tena!Poa poa chief, hizo zinapatikana poa kabisa......hata ykienda nunua dish watakupatia na brochure yao utaona package zao na bei.
BBC, Aljazeera, SABC ni elfu 19,000/-. CNN iko kwenye kifurushi cha accessCNN, BBC unapata kwa kulipa ngapi naona hujaiweka
Enzi za Tido Mhando TBC1 walikua na game moja kila wiki ya EPL. Baada ya Tido kusepa na program ikafa.uko sahihi kabisa na kwa kuongezea EPL wameigawanya Africa katika zone 3, South Africa, Nigenia na The rest of the Africa sasa Azamtv rights anazohitaji ni za The rest of the Africa maana tz ndo inafall humo na bahati mbaya hiyo rights za the rest of the africa ndio the most competitive na ndo the most expensive so kuna kazi kidogo hapo ila kama azam wako serious kweli na EPL kwanini waligombanie rights za game moja kwa wiki ambazo anazo kwese sasa hivi kupitia tv1 na hizo rights huwa hutakiwi kuuza ni kwa ajili ya kutoa Free (EPL wanatoa game moja kwa wiki Free) Azam waanzie hapo kwanza kabla ya yote.
Sana,wana NBA,EPL etcWapo vizuri?
Sasa kwani ni lazima ulipie hicho cha premium ndio uone EPL?Premium ni TSH 169,000/=
Hapana kuanzia 69,000/=na UEFA 109,000 Ukilipa 169,000 ndo premium yaani unaona Channel za DSTV kwa ubora wa HD.Sasa kwani ni lazima ulipie hicho cha premium ndio uone EPL?
Ina mama Chanel zote zinakua ni HD mkuu? Hebu fafanua kidogo kuhus hilo.Alafu dstv exploler ni hasa? Bei yadekoda tupu ya dstv exploler ni ipi hasaHapana kuanzia 69,000/=na UEFA 109,000 Ukilipa 169,000 ndo premium yaani unaona Channel za DSTV kwa ubora wa HD.
South Africa ni cheap sababu subscribers ni wengi ndio maana wanapunguza beiDSTV is very expensive in Tanzania ukilinganisha na SA, ila ni king'amuzi makini. Sijawahi kuwa na king'amuzi kingine zaidi ya DSTV hivyo niishie kusema ni chaguo sahihi.