BBC,Al Jazeera zinapatikana kwenye Bomba ya 19,000Unaipata kwenye package ya 69,000/=
Teknolojia inakwenda mbele competitor wa DSTV hawezi kuwa Azam,SA mwaka jana Netflix walipata customer wengi kuliko DSTVSiku azam watakapoanza kurusha EPL ndipo dstv watakapokimbiwa na zaidi ya nusu ya wateja wao.
asante, ngoja nianze na cha 69,000 kama napata bbc, cnn na TBC1, basi naidhika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha uwongo, vifurushi vya epl siyo 80000+ kama unavyosema, labda ulihadithiwa na jirani yako ambae naye alihadithiwa....huna dstv!
Aaaah! siku moja nimeweka kifurushi cha sh. 69,000 ili kuangalia mechi ya Man U vs Arsernal lakini loo, nikaikosa eti iko kwenye kifurushi cha juu kuliko 69,000/=, nikasema sheeeeet!!!! nikachomboa dish nikaenda kuangalia kwenye bar. Hadi leo siitaki tena hiyo chuma uleteJina la kifurushi: DSTV Bomba
Bei: TZS 19,000
Channel list
View attachment 788137
Mengineyo: Tembelea ukurasa wao: bit.ly/2IUu9ft
Miaka ya karibuni subscribers wa Dstv wamezidi kuongezeka baada ya kupunguza gharama zao na kufanya promotion ya kutosha ukilinganisha na miaka ya nyuma (kuna miaka installation cost ya Dstv ilikuwa si chini ya Tshs 300,000 now imeshuka mpaka 80,000 na pia unapata offer ya miezi 2)basi huku itazidi kupanda maana wateja wamehamia Azam na kombe la dunia haoooo startimes, upo?
Swali ni Azam wataweza kutoa mzigo wa kuipiku Dstv? Mimi mwenyewe nasubiria kwa hamu Azam wafanikiwe.Siku azam watakapoanza kurusha EPL ndipo dstv watakapokimbiwa na zaidi ya nusu ya wateja wao.
Kwese anakuja kumfuta dstv Africa,wait and see...
Nadhani kuna channels nyingi sana za kimataifa ambazo huwezi kuzipata kwingine isipokuwa DSTv, hivyo hata Azam wakirusha EPL bado DsTv wana mwanya mkubwa wa kuwa kwenye ushindani.
Hicho kifurushi cha 19000/= cha DSTV ni bora ulipie azam utapata chanel za maana!Dstv kuna kifurushi hadi cha Tsh 19,000
19000(Bomba)Cha chini ni 19,000 na cha juu kwabisa 85,000
Asee sina hakika kama umewahi tumia ving'amuzi vyote ( Azam na DStv) ukaona tofauti yao, au interest yako huwa ni vipindi gani?Hicho kifurushi cha 19000/= cha DSTV ni bora ulipie azam utapata chanel za maana!
Kwa msimu wa 2016-19 DSTv £296 milioni kuonesha mechi za Epl tu. Usitegemee Azama ataweza kuonesha mechi za Epl.Siku azam watakapoanza kurusha EPL ndipo dstv watakapokimbiwa na zaidi ya nusu ya wateja wao.
uko sahihi kabisa na kwa kuongezea EPL wameigawanya Africa katika zone 3, South Africa, Nigenia na The rest of the Africa sasa Azamtv rights anazohitaji ni za The rest of the Africa maana tz ndo inafall humo na bahati mbaya hiyo rights za the rest of the africa ndio the most competitive na ndo the most expensive so kuna kazi kidogo hapo ila kama azam wako serious kweli na EPL kwanini waligombanie rights za game moja kwa wiki ambazo anazo kwese sasa hivi kupitia tv1 na hizo rights huwa hutakiwi kuuza ni kwa ajili ya kutoa Free (EPL wanatoa game moja kwa wiki Free) Azam waanzie hapo kwanza kabla ya yote.
Naijua sana DSTV tangu mwishoni mwa miaka ya 1990 kipindi hicho bei ya juu ilikuwa ni shilling 70,000/= tu na bado kwa kipindi hicho waliokuwa wanaweza kulipia ni wachache waliokuwanazo labda na sehemu za starehe au na sehemu nyingine za biashara! Kwa mtanzania wa kipato cha kawaida bado ilikuwa ni too expensive by then! Kuhusu vipindi vya DSTV ni vizuri sana na wanacover maeneo mengi sana ya interest za watazamaji! ISHU HAPA TUNAONGELEA AFFORDABILITY! Kama huamini fanya survey ya watz wangapi wanaotumia dstv majumbani mwao. Na kama hawatumii ni kwa sababu gani? Watu wengi hapa bongo wanatamani sana kuwa na DSTV majumbani ila tatizo monthly subscription fee!Asee sina hakika kama umewahi tumia ving'amuzi vyote ( Azam na DStv) ukaona tofauti yao, au interest yako huwa ni vipindi gani?
Vizuri, ebu nambie kifurushi cha Azam TV cha tsh 18000 na cha dstv cha 19000 ukiwa na decorder zote alafu unalipia kimojawapo utalipia kipi, maana gharama hizo ndo zinaendana.Naijua sana DSTV tangu mwishoni mwa miaka ya 1990 kipindi hicho bei ya juu ilikuwa ni shilling 70,000/= tu na bado kwa kipindi hicho waliokuwa wanaweza kulipia ni wachache waliokuwanazo labda na sehemu za starehe au na sehemu nyingine za biashara! Kwa mtanzania wa kipato cha kawaida bado ilikuwa ni too expensive by then! Kuhusu vipindi vya DSTV ni vizuri sana na wanacover maeneo mengi sana ya interest za watazamaji! ISHU HAPA TUNAONGELEA AFFORDABILITY! Kama huamini fanya survey ya watz wangapi wanaotumia dstv majumbani mwao. Na kama hawatumii ni kwa sababu gani? Watu wengi hapa bongo wanatamani sana kuwa na DSTV majumbani ila tatizo monthly subscription fee!
Kwa sasa kifurushi cha DSTV ambacho unaweza kuangalia vipindi vyake na ukainjoy ni kuanzia 69000(compact), 10900(compact plus), 169000(premium).
Acha uongo..cha juu 100,000+Cha chini ni 19,000 na cha juu kwabisa 85,000