DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

Jina la kifurushi: DSTV Bomba
Bei: TZS 19,000
Channel list
View attachment 788137

Mengineyo: Tembelea ukurasa wao: bit.ly/2IUu9ft
Aaaah! siku moja nimeweka kifurushi cha sh. 69,000 ili kuangalia mechi ya Man U vs Arsernal lakini loo, nikaikosa eti iko kwenye kifurushi cha juu kuliko 69,000/=, nikasema sheeeeet!!!! nikachomboa dish nikaenda kuangalia kwenye bar. Hadi leo siitaki tena hiyo chuma ulete
 
South Africa ni cheap sababu subscribers ni wengi ndio maana wanapunguza bei
basi huku itazidi kupanda maana wateja wamehamia Azam na kombe la dunia haoooo startimes, upo?
 
basi huku itazidi kupanda maana wateja wamehamia Azam na kombe la dunia haoooo startimes, upo?
Miaka ya karibuni subscribers wa Dstv wamezidi kuongezeka baada ya kupunguza gharama zao na kufanya promotion ya kutosha ukilinganisha na miaka ya nyuma (kuna miaka installation cost ya Dstv ilikuwa si chini ya Tshs 300,000 now imeshuka mpaka 80,000 na pia unapata offer ya miezi 2)
 
Siku azam watakapoanza kurusha EPL ndipo dstv watakapokimbiwa na zaidi ya nusu ya wateja wao.
Swali ni Azam wataweza kutoa mzigo wa kuipiku Dstv? Mimi mwenyewe nasubiria kwa hamu Azam wafanikiwe.

Vv
 
DSTV KWA MFANO ANALIPIA EXCLUSIVE RIGHTS ZA EPL INAFIKA MABILION SASA WAKISHINDANA NA AZAM ITAFIKA HADI TRILION SASA TUSEME AZAM WAKASHINDA UNAFIKIRI KIFURISHI KITABAKI CHA 15 UMEONA WAPI BIASHARA KICHAA HIYO SI MNAKUMBUKA GTV WALIWEKA BEI CHINI WAKASHINDWA KUENDELEA WAKAFILISIKA
 
Nadhani kuna channels nyingi sana za kimataifa ambazo huwezi kuzipata kwingine isipokuwa DSTv, hivyo hata Azam wakirusha EPL bado DsTv wana mwanya mkubwa wa kuwa kwenye ushindani.

Kwa bei hizo huo ushindani utatoka wapi? Hivi unajua maisha halisi ya mtanzania au unaongelea wachache ambayo wanaweza kuafford. Azam TV pamoja na kutokuwa na chanel zinazaoonyesha EPL lakini ndio ving'amuzi vyao vinaongoza kuwa na watumiaji wengi sasa unadhani ikiwepo epl na bei zao zikawa nzuri zinazolipika na watanzania wengi hao DSTV watapata wateja wapi toka wapi hapa Bongo?

Kwa sasa tu watu na vipato vyao vya kila mwezi ni wachache wanaoweza kulipia DSTV pamoja na kuwa na chanell nyingi. Wingi wa chanel siyo hoja ya msingi, hoja ni affordability. Hvi madukani hakuna nguo, mbona watu wengi wanavaa mitumba?
 
Hicho kifurushi cha 19000/= cha DSTV ni bora ulipie azam utapata chanel za maana!
Asee sina hakika kama umewahi tumia ving'amuzi vyote ( Azam na DStv) ukaona tofauti yao, au interest yako huwa ni vipindi gani?
 
uko sahihi kabisa na kwa kuongezea EPL wameigawanya Africa katika zone 3, South Africa, Nigenia na The rest of the Africa sasa Azamtv rights anazohitaji ni za The rest of the Africa maana tz ndo inafall humo na bahati mbaya hiyo rights za the rest of the africa ndio the most competitive na ndo the most expensive so kuna kazi kidogo hapo ila kama azam wako serious kweli na EPL kwanini waligombanie rights za game moja kwa wiki ambazo anazo kwese sasa hivi kupitia tv1 na hizo rights huwa hutakiwi kuuza ni kwa ajili ya kutoa Free (EPL wanatoa game moja kwa wiki Free) Azam waanzie hapo kwanza kabla ya yote.

Dstv wanaonesha kwenyw subsaharan countries tu ambayo wamegawanya sehemu mbili. SA na ROA, North Africa wanatumia Bein sport kuonesha Epl.
 
Asee sina hakika kama umewahi tumia ving'amuzi vyote ( Azam na DStv) ukaona tofauti yao, au interest yako huwa ni vipindi gani?
Naijua sana DSTV tangu mwishoni mwa miaka ya 1990 kipindi hicho bei ya juu ilikuwa ni shilling 70,000/= tu na bado kwa kipindi hicho waliokuwa wanaweza kulipia ni wachache waliokuwanazo labda na sehemu za starehe au na sehemu nyingine za biashara! Kwa mtanzania wa kipato cha kawaida bado ilikuwa ni too expensive by then! Kuhusu vipindi vya DSTV ni vizuri sana na wanacover maeneo mengi sana ya interest za watazamaji! ISHU HAPA TUNAONGELEA AFFORDABILITY! Kama huamini fanya survey ya watz wangapi wanaotumia dstv majumbani mwao. Na kama hawatumii ni kwa sababu gani? Watu wengi hapa bongo wanatamani sana kuwa na DSTV majumbani ila tatizo monthly subscription fee!

Kwa sasa kifurushi cha DSTV ambacho unaweza kuangalia vipindi vyake na ukainjoy ni kuanzia 69000(compact), 10900(compact plus) na 169000(premium) na kuendelea.
 
Naijua sana DSTV tangu mwishoni mwa miaka ya 1990 kipindi hicho bei ya juu ilikuwa ni shilling 70,000/= tu na bado kwa kipindi hicho waliokuwa wanaweza kulipia ni wachache waliokuwanazo labda na sehemu za starehe au na sehemu nyingine za biashara! Kwa mtanzania wa kipato cha kawaida bado ilikuwa ni too expensive by then! Kuhusu vipindi vya DSTV ni vizuri sana na wanacover maeneo mengi sana ya interest za watazamaji! ISHU HAPA TUNAONGELEA AFFORDABILITY! Kama huamini fanya survey ya watz wangapi wanaotumia dstv majumbani mwao. Na kama hawatumii ni kwa sababu gani? Watu wengi hapa bongo wanatamani sana kuwa na DSTV majumbani ila tatizo monthly subscription fee!

Kwa sasa kifurushi cha DSTV ambacho unaweza kuangalia vipindi vyake na ukainjoy ni kuanzia 69000(compact), 10900(compact plus), 169000(premium).
Vizuri, ebu nambie kifurushi cha Azam TV cha tsh 18000 na cha dstv cha 19000 ukiwa na decorder zote alafu unalipia kimojawapo utalipia kipi, maana gharama hizo ndo zinaendana.
In short hata TV stations za Azam hazijaweza kuvutia kila mtu aitumie.
Pili hata kufanya installation ya azam vs dstv kuna tofauti tena karibia mara 2, lazima option uiweke kwa mwenye low price.
Tatizo wengi wanaoipinga dstv wao hukimbilia kuiponda kwa vile vifurushi vya bei ghali ambavyo hata huku azam hana Chanel's zake
 
Back
Top Bottom