Decoder au king'amuzi?.Hivi price ya kununua decoder na installation jumla ni kiasi gani ?
79000Hivi price ya kununua decoder na installation jumla ni kiasi gani ?
Vp bado hajafika tu huyo kwese?Kwese anakuja kumfuta dstv Africa,wait and see...
Vp bado hajafika tu huyo kwese?Kwese anakuja kumfuta dstv Africa,wait and see...
Kwese nao wapo Juu sana mkuuKwese anakuja kumfuta dstv Africa,wait and see...
HAKIKA MKUUKwese nao wapo Juu sana mkuu
Yaah Channel nyingi za ughaibuni hapa bongo kuzipata mpka ulipie kwa price kubwa ..Hata ukiangalia bundle za kwese za kustreem zpo juu sana ..HAKIKA MKUU
Kwa waoneshaji mpira tafadhali kama upo njoo inbox
Game ya EPL unapata kwenye kifurushi cha bomba?Mi nalipia dstv bomba sh. 19,000/= napata SS3,4,7,8,9,10,Blitz, ss12,fifa 2, ss maximo na nyingine nyingi. Movie zipo za kutosha kuanzia bongo,Nigeria, India na mtoni.
Mziki zipo chaneli za kutosha.
Series, documentary na comedy zipo za kutosha.
NB: SS3, 12 na maximo utapata baada ya kulipia kwa mara ya kwanza (baada ya kifurushi kuisha na kulipia tena).
Unapata kwa muda wa wiki mbili halafu wanakata S3 kwa unaendelea kula la liga pekee. S3 ni ofa kama ukilipiaGame ya EPL unapata kwenye kifurushi cha bomba?
Ss3 inapatikana kwneye family package au compact plus pekee na premium au hata family cha 39000 kinapatikana? cha 69k compact plus wana ss3 maana naona watu wanasema compact plus cha 69k ni uhakika kuangalia league ya eplUnapata kwa muda wa wiki mbili halafu wanakata S3 kwa unaendelea kula la liga pekee. S3 ni ofa kama ukilipia
S3 inapatikana kwneye family package au compact plus pekee na premium au hata family cha 39000 kinapatikana? cha 69k compact plus wana ss3 maana naona watu wanasema compact plus cha 69k ni uhakika kuangalia league ya eplHabari njema kwa wadau wa kabumbu na wateja wote wa DStv kiujumla! Hii ni bei ilianza tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2017 bei ambayo ni kama ifuatavyo kwa Vifurushi vyote vya DStv:-
1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!
69k compact,hiki utaangalia game kubwa zote za EPL lkn uefa itakuwa shida,maana uefa inaonyeshwa kwenye SS5,SS6 hatua ya 16 bora nakuendelea,ambapo SS5 inapatikana kwenye kifurushi cha 109K.Pia zinapocheza mechi mbili kwa pamoja mfano Chelsea vs Newcastle,Man u vs Fulham basi ujue mechi moja itaonyeshwa kwenye SS5,nyingine kwenye SS3 kwahiyo garantii yakuwa na uhakika wamechi yeyote ambayo unaweza kuiangalia ya EPL ni kifurushi cha 109K.S3 inapatikana kwneye family package au compact plus pekee na premium au hata family cha 39000 kinapatikana? cha 69k compact plus wana ss3 maana naona watu wanasema compact plus cha 69k ni uhakika kuangalia league ya epl
Mnaotamani Kujiunga na DSTV Vifurushi hivi hapa! Ni Sh. 19,000/= ,Sh. 39,000/=, Sh.69,000/= ,Sh.109,000/=, Bila kusahu hiki cha Sh.169,000/= ambcho ndicho natumia na shangazi yenu. Kwa Kifupi Vifurushi vyote vina number 9 kama kuna mtuu kakwambia tofauti ujue kasimuliwa hata kujiunga ni 79,000/=
View attachment 788224 View attachment 788229
Compact 69k unapata ss3 mkuuSs3 inapatikana kwneye family package au compact plus pekee na premium au hata family cha 39000 kinapatikana? cha 69k compact plus wana ss3 maana naona watu wanasema compact plus cha 69k ni uhakika kuangalia league ya epl