DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

Hivi price ya kununua decoder na installation jumla ni kiasi gani ?
 
Hivi price ya kununua decoder na installation jumla ni kiasi gani ?
Decoder au king'amuzi?.

Kama ni king'amuzi cha dstv kinauzwa elfu 79,nakufungiwa kabisa bei ni elfu 20.

Azam ni laki na elfu 50,kufungiwa ni elfu 20.

Star times ni elfu 78,kufungiwa ni elfu 20.
 
Mi nalipia dstv bomba sh. 19,000/= napata SS3,4,7,8,9,10,Blitz, ss12,fifa 2, ss maximo na nyingine nyingi. Movie zipo za kutosha kuanzia bongo,Nigeria, India na mtoni.
Mziki zipo chaneli za kutosha.
Series, documentary na comedy zipo za kutosha.
NB: SS3, 12 na maximo utapata baada ya kulipia kwa mara ya kwanza (baada ya kifurushi kuisha na kulipia tena).
Game ya EPL unapata kwenye kifurushi cha bomba?
 
Habari njema kwa wadau wa kabumbu na wateja wote wa DStv kiujumla! Hii ni bei ilianza tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2017 bei ambayo ni kama ifuatavyo kwa Vifurushi vyote vya DStv:-
1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!
 
Unapata kwa muda wa wiki mbili halafu wanakata S3 kwa unaendelea kula la liga pekee. S3 ni ofa kama ukilipia
Ss3 inapatikana kwneye family package au compact plus pekee na premium au hata family cha 39000 kinapatikana? cha 69k compact plus wana ss3 maana naona watu wanasema compact plus cha 69k ni uhakika kuangalia league ya epl
 
Habari njema kwa wadau wa kabumbu na wateja wote wa DStv kiujumla! Hii ni bei ilianza tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2017 bei ambayo ni kama ifuatavyo kwa Vifurushi vyote vya DStv:-
1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!
S3 inapatikana kwneye family package au compact plus pekee na premium au hata family cha 39000 kinapatikana? cha 69k compact plus wana ss3 maana naona watu wanasema compact plus cha 69k ni uhakika kuangalia league ya epl
 
69k compact,hiki utaangalia game kubwa zote za EPL lkn uefa itakuwa shida,maana uefa inaonyeshwa kwenye SS5,SS6 hatua ya 16 bora nakuendelea,ambapo SS5 inapatikana kwenye kifurushi cha 109K.Pia zinapocheza mechi mbili kwa pamoja mfano Chelsea vs Newcastle,Man u vs Fulham basi ujue mechi moja itaonyeshwa kwenye SS5,nyingine kwenye SS3 kwahiyo garantii yakuwa na uhakika wamechi yeyote ambayo unaweza kuiangalia ya EPL ni kifurushi cha 109K.
 
Mnaotamani Kujiunga na DSTV Vifurushi hivi hapa! Ni Sh. 19,000/= ,Sh. 39,000/=, Sh.69,000/= ,Sh.109,000/=, Bila kusahu hiki cha Sh.169,000/= ambcho ndicho natumia na shangazi yenu. Kwa Kifupi Vifurushi vyote vina number 9 kama kuna mtuu kakwambia tofauti ujue kasimuliwa hata kujiunga ni 79,000/=

View attachment 788224 View attachment 788229

Hihihiiiiiiii,hii tisa sijui inamaanisha nn mkuu,au ni masonic nijivue gamba?
 
Ss3 inapatikana kwneye family package au compact plus pekee na premium au hata family cha 39000 kinapatikana? cha 69k compact plus wana ss3 maana naona watu wanasema compact plus cha 69k ni uhakika kuangalia league ya epl
Compact 69k unapata ss3 mkuu
 
I wish ingewezekana mtu kuchagua channels then uzilipie. Mipira inafanya bundle ziwe juu.
 
Back
Top Bottom