DStv sio mpango

DStv sio mpango

Joined
Nov 23, 2013
Posts
79
Reaction score
119
Kifurushi cha kuanzia 69000 ndo nafuu kwa michezo...ndg zangu kuna njia rahisi ya kuangalia mpira kwa bei nafuu zaidi bila ya kutumia DStv
-startimes unaangalia..ligi ya france,jerumani, ueropa league,ligi ya uholanzi, Ubeligiji kwa sh 19,000/=
- ligi ya England,hispania,uefa na seria A naangalia kwa kutumia live streaming.. laini ya halotel wanachuo 350mb- 500mb una uwezo wa kuangalia gemu moja..au wikendi nzima gb 3 kwa 3000/= ..ukitumia sana ni 5000/ kwa wiki hivyo kwa mwezi ni sh 20000
20000+19000= 39000...!
Unakuwa umesavu 40,000/= (wengine mna laini za chuo za tigo,voda na ttcl huko nako wanatoa mb nyingi tu)
 
Hakuna king'amuzi Bora Kama Dst Tanzania. 1900 nacheki ligue za italy,Spain mechi zote ,uefa baadhi ya mechi,Epl baadhi ya mechi. Hujanidanganya chochote kuhusu Dstv
 
Laliga hata azama tv wanaonyesha...tatizo ni kwamba dstv ya 19000/= haikupi uhuru wa kuangalia kile unachotaka hasa upande wa epl,italy,uefa hata uefa nation league
 
Kifurushi cha kuanzia 69000 ndo nafuu kwa michezo...ndg zangu kuna njia rahisi ya kuangalia mpira kwa bei nafuu zaidi bila ya kutumia DStv
-startimes unaangalia..ligi ya france,jerumani, ueropa league,ligi ya uholanzi, Ubeligiji kwa sh 19,000/=
- ligi ya England,hispania,uefa na seria A naangalia kwa kutumia live streaming.. laini ya halotel wanachuo 350mb- 500mb una uwezo wa kuangalia gemu moja..au wikendi nzima gb 3 kwa 3000/= ..ukitumia sana ni 5000/ kwa wiki hivyo kwa mwezi ni sh 20000
20000+19000= 39000...!
Unakuwa umesavu 40,000/= (wengine mna laini za chuo za tigo,voda na ttcl huko nako wanatoa mb nyingi tu)
Startimes nao wamezingua, walikuwa wanaonesha na Serie A ila msimu huu wamezingua hawaoneshi
 
Unaenda mwezi huu kifurushi changu cha bomba wameniwekea superport3 sijui wana offer au vipi wabarikiwe kwakweli dstv moto hauzimi kweli [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nan kakwambia mpira wa peke yako kwenye kacm hm unanoga?
 
Ukiwah kulipia unapata offer ya wik moja free mkuu
Unaenda mwezi huu kifurushi changu cha bomba wameniwekea superport3 sijui wana offer au vipi wabarikiwe kwakweli dstv moto hauzimi kweli [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hizi live streaming zikoje maana kila nikijaribu nashindwa ila una mtizamo sahihi japo mi huwa naangalia pale jamaa ni Jero(500) kwa wiki kama 1500
 
Startimes nao wamezingua, walikuwa wanaonesha na Serie A ila msimu huu wamezingua hawaoneshi
Msimu huu startimes hakuna kitu kabisa tena hovyo sana hakuna Seria A hata hiyo Ueropa nation league hawaoneshi yani ni zaidi ya hovyo tena hovyo
 
Kifurushi cha kuanzia 69000 ndo nafuu kwa michezo...ndg zangu kuna njia rahisi ya kuangalia mpira kwa bei nafuu zaidi bila ya kutumia DStv
-startimes unaangalia..ligi ya france,jerumani, ueropa league,ligi ya uholanzi, Ubeligiji kwa sh 19,000/=
- ligi ya England,hispania,uefa na seria A naangalia kwa kutumia live streaming.. laini ya halotel wanachuo 350mb- 500mb una uwezo wa kuangalia gemu moja..au wikendi nzima gb 3 kwa 3000/= ..ukitumia sana ni 5000/ kwa wiki hivyo kwa mwezi ni sh 20000
20000+19000= 39000...!
Unakuwa umesavu 40,000/= (wengine mna laini za chuo za tigo,voda na ttcl huko nako wanatoa mb nyingi tu)
Umaskini wako pambana nao unazani nchi nzima tukiwa na laini za vyuo kodi itatoka wapi? Natumia Gb 24 kwa mwezi bila laini ya chuo kwa mambo yangu na Dstv nalipia premium, wewe kama huna uwezo kaa kimya
 
Back
Top Bottom