DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019

lembu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
17,951
Reaction score
23,705
Kwa Wasomaji wa Kiswahili
DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019

Bei mpya za vifurushi vya DTSV vitakuwa ni:

Jina la KifurushiIdadi ya ChaneliBei ya Zamani Bei Mpya
Bomba45+19,00019,000
Family57+39,00029,000
Compact90+69,00044,000
Compact Plus98+109,00084,000
Premium115+169,000129,000
Premium +addon ya Asia210,050170,050
Premium +addon ya Ufaransa259,000219,000


For English Readers
DSTV Tanzania to Slash Down Packages Prices from September 1st 2019

The new prices will be

Package nameChannelsOld Price in TZSNew Price in TZS
Bomba45+19,00019,000
Family57+39,00029,000
Compact90+69,00044,000
Compact Plus98+109,00084,000
Premium115+169,000129,000
Premium + Asia addon210,050170,050
Premium + French addon259,000219,000
 
Sasa apo wameshusha nn??? Mbna cha 19000 kimebaki vile vile
 
Sasa apo wameshusha nn??? Mbna cha 19000 kimebaki vile vile
Ndugu wape hata Hongera kwa vile walivyoshusha, hii ya bomba tayari ilikuwa cheap
Kwa wale wanaotumia DSTV na wale wengine mtakubali kuwa huduma za DSTV niquality na application yao inamrahisihia mteja vitu vingi tofauti na hao wengine, mimi nilitumia wawili na sasa natumia startimes na DSTV lakini startimes hawawezi kuwakuta DSTV hata kwa mbali
 
mm bado nasubir had cha compact kiwe 19k ntabak star times had washushe zaid elfu 44k bado sana hapo sijaona punguzo
 
Mimi nilikuwa napenda mieleka ilikuwa kwenye bomba Sasa wameiweka kwenye compact.ni wangese Sana Hawa jamaa, sijalipa 44elfu kwa akili ya mieleka acha niikose hapa nawaza kununua Azam nifaidi local Chanel.
 
mm bado nasubir had cha compact kiwe 19k ntabak star times had washushe zaid elfu 44k bado sana hapo sijaona punguzo
Wewe hujawahi kutumia DSTV
Ungewahi ungekubali kuwa Bomba ya DSTV ni bora kuliko full package ya Startimes kwa wingi wa program, quality Yaani hata chaneli za DSTV ambazo sio HD zinaonekana vizuri kuliko hao wengine. kwa kupitia bomba unaweza kuona ligi ya Italy, Spain, Championship ya uingereza, Karabao cup na baadhi ya mechi kubwa na ndogo za EPL kupitia SS10 hivi vyote huwezi kupata kupitia Startime au AZAM ambao wao advantage yao ni ligi ya ndani na La liga tu
DSTV king'amuzi chao kina application nzuri ambayo hao wengine hawana. Unaweza kujua vipindi vijavyo bila kuzubiri spam za matangazo, unaweza weka reminder kwa vipindi vyako pendwa, unaweza kurekodi automatically kama unatumia king'amuzi kubwa nk
 
For the best Tv experience. Premium inatosha sana.

Asante kusogeza hii Karibu.
 
For the best Tv experience. Premium inatosha sana.

Asante kusogeza hii Karibu.
Wamepandisha tena kuanzia 1/9/2020 wateja wa Compact ni 49,000(ilikuwa 44,000). Vifurushi vingine sijui vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…