DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019

DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019

Kuanzia tarehe moja September 2020 hii ndo ratiba ya Supersport channel.
Kuanzia kifurushi cha BOMBA hadi PREMIUM.

Msishangae bei kuongezeka maana kuna mazuri yanakuja ndo kama hivyo. Elfu 49 unapata burudani safi kabsa kutoka kifurushi cha COMPACT.
 

Attachments

  • 628B1458-804F-4057-9FAB-DDE837AF48D5.jpeg
    628B1458-804F-4057-9FAB-DDE837AF48D5.jpeg
    149.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom