Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wameanza kuwa waswahiliAisee duh, biashara inaelekea kuwashinda sasa
Pengine hili ndio jibu, inawezekana huyo mhusika huko uingereza ametofautisha ligi ya uingereza na ngao ya hisani kama mashindano mawili tofauti, ili uonyeshe ngao ya hisani inabidi uilipie kipekee pengine hela nyingi zaidi,Dhuuuuu Sasa wamefanya hii ngao ya jamii kama vle carabao
Kabsa aiseee hii ngao ya jamii naonaPengine hili ndio jibu, inawezekana huyo mhusika huko uingereza ametofautisha ligi ya uingereza na ngao ya hisani kama mashindano mawili tofauti, ili uonyeshe ngao ya hisani inabidi uilipie kipekee pengine hela nyingi zaidi,
This is too low kwa Dstv. Nimeangalia ratiba kwenye runinga yangu kuanzia SS1 -12 hakuna. Nikajipa moyo kwamba ratiba zitabadilika baadaye. Kumbe hawaonyeshi kabisa? Hata channel za Kiarabu? Tough day today...Jumapili hii kuna mchezo wa ngao ya jamii pale England, kati ya Man City Vs Chelsea katika uwanja wa Wembley. Mechi hiyo ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya wa EPL.
Cha kusikitisha ni kwamba, Dstv hawataonyesha mechi hiyo kwasababu ambazo hawajiziweka wazi. Pengine kukosa mshindani kumemfanya Dstv abweteke na kuamua kututesa.
Hivyo wapenzi wa soka, mjiandae kisaikolojia kwa jumapili hii, msipate shida ya kuzunguka katika vibanda umiza.
SS3 wataonyesha Bayern Munich na Man Utd saa tatu usiku.....Ni kweli kupitia accout yao ya IG wamethibitisha kuwa mechi ya jpili ya ngao ya jamii ligi ya wingereza jpili hii hawataonyesha na baadala Yake Wataonyesha mechi ya kirafiki ya. Buyern Munich's vs man united