Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule jamaa mwenye utata humu amenunua DSTV juzi, ngoja aje
Haa haa haa aiseeeKuna yule jamaa mwenye utata humu amenunua DSTV juzi, ngoja aje
Tuwekee link mkuu. Wewe ni mkali wa mambo hayo...Pengine hili ndio jibu, inawezekana huyo mhusika huko uingereza ametofautisha ligi ya uingereza na ngao ya hisani kama mashindano mawili tofauti, ili uonyeshe ngao ya hisani inabidi uilipie kipekee pengine hela nyingi zaidi,
Iko king'amuzi gani mkuu?BT Sport 1 wanaonesha mechi.
Akikujibu nishtue mkuuIko king'amuzi gani mkuu?
Hiyo huwa nacheki online Kiongozi. Hata Dstv hawana hiyo channel, pia sidhani kama kuna king'amuzi chenye channels za BT Sport hapa Tanganyika.Iko king'amuzi gani mkuu?
Nitakushtua HazardAkikujibu nishtue mkuu
Tazama hio screen shotNi kweli kupitia accout yao ya IG wamethibitisha kuwa mechi ya jpili ya ngao ya jamii ligi ya wingereza jpili hii hawataonyesha na baadala Yake Wataonyesha mechi ya kirafiki ya. Buyern Munich's vs man united
Hili ndilo jibu lake!Hiyo huwa nacheki online Kiongozi. Hata Dstv hawana hiyo channel, pia sidhani kama kuna king'amuzi chenye channels za BT Sport hapa Tanganyika.
Unatumia App gani online?Hiyo huwa nacheki online Kiongozi. Hata Dstv hawana hiyo channel, pia sidhani kama kuna king'amuzi chenye channels za BT Sport hapa Tanganyika.
Mobdro iko na hiyo channel Kiongozi. Nenda google,kisha search mobdro app itakuja. Play store hawana hiyo app.Unatumia App gani online?
Vp wanaonyesha huko kwenu?Binafsi siamini kama inawezekana wa sionyeshe na sababu ni nini...?