DSTV wameanza ukanjanja, hawataonyesha mechi Ngao ya Jamii England

Pengine hili ndio jibu, inawezekana huyo mhusika huko uingereza ametofautisha ligi ya uingereza na ngao ya hisani kama mashindano mawili tofauti, ili uonyeshe ngao ya hisani inabidi uilipie kipekee pengine hela nyingi zaidi,
Tuwekee link mkuu. Wewe ni mkali wa mambo hayo...
 
Ni kweli kupitia accout yao ya IG wamethibitisha kuwa mechi ya jpili ya ngao ya jamii ligi ya wingereza jpili hii hawataonyesha na baadala Yake Wataonyesha mechi ya kirafiki ya. Buyern Munich's vs man united
Tazama hio screen shot
 
Hiyo huwa nacheki online Kiongozi. Hata Dstv hawana hiyo channel, pia sidhani kama kuna king'amuzi chenye channels za BT Sport hapa Tanganyika.
Hili ndilo jibu lake!
Cc:Hazard
 
Hiyo huwa nacheki online Kiongozi. Hata Dstv hawana hiyo channel, pia sidhani kama kuna king'amuzi chenye channels za BT Sport hapa Tanganyika.
Unatumia App gani online?
 
Na sasa Chaneli 208 itaondolewa katika kifurushi cha Bomba cha 19,000 kwenda kifurshi cha Family cha 39,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…