Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana.
DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29.
Siku za karibuni DStv amekuwa akipungukiwa na wateja hii ni baada ya AzamTv kuliteka soko la ndani kupitia NBC PL.
Pia ongezeko la streaming sites zimefanya kampuni ya DStv kuchuja na kukimbiwa na wateja wengi
Haya wale ambao hamjalipia DStv zenu washeni dikoda mtiririke kwa hizi siku mbili za ofa.