DStv wametoa ofa ya chaneli zote bure kuanzia 27 mpaka 29 Desemba hata kama hujalipia

DStv wametoa ofa ya chaneli zote bure kuanzia 27 mpaka 29 Desemba hata kama hujalipia

Mimi si mtu nayetazama sana tv. Nalipia hicho kifurushi kwa sababu watu nnaoishi nao wanapenda channel namba 165 na 168 maisha magic, na 171 ambapo hazipatikani katikq kifurushi cha chini ya hapo. Bila hizo channel wanazopenda ningekuwa nalipia kifurushi cha chini zaidi.
Mimi mambo yote nayopenda nayapata kwenye internet.
NI KWELI NA NI KWA SABABU HUNA MUDA WA KUTAZAMA TV. STILL, DISCOVERY CHANNEL PAMOJA NA NATIONAL GEOGRAPHIC NDIYO CHANNEL ZINAZOONGOZA KWA UBORA KWENYE VIFURUSHI VYA DSTV. HATA HIVYO, SITUATION ULIYONAYO WEWE NI SAWA NA YA YANGU
 
Back
Top Bottom