Ile maisha magic tofauti na 158, nayo inaomyesha tamthlia nyingi za kikenya sijui ni 163Channel 168 siyo ROK?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile maisha magic tofauti na 158, nayo inaomyesha tamthlia nyingi za kikenya sijui ni 163Channel 168 siyo ROK?
NI KWELI NA NI KWA SABABU HUNA MUDA WA KUTAZAMA TV. STILL, DISCOVERY CHANNEL PAMOJA NA NATIONAL GEOGRAPHIC NDIYO CHANNEL ZINAZOONGOZA KWA UBORA KWENYE VIFURUSHI VYA DSTV. HATA HIVYO, SITUATION ULIYONAYO WEWE NI SAWA NA YA YANGUMimi si mtu nayetazama sana tv. Nalipia hicho kifurushi kwa sababu watu nnaoishi nao wanapenda channel namba 165 na 168 maisha magic, na 171 ambapo hazipatikani katikq kifurushi cha chini ya hapo. Bila hizo channel wanazopenda ningekuwa nalipia kifurushi cha chini zaidi.
Mimi mambo yote nayopenda nayapata kwenye internet.