DSTV wanakera kwa kuibia wateja

DSTV wanakera kwa kuibia wateja

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Dstv wamepanga channels za kila kifurushi. Ila ukisha nunua kifurushi ukicheki unakuta channels nyingi tu kwa mfano kifurushi cha shs 29900 (sasa wamekipandisha kua shs 31000) hawakupi.

Maudhi makubwa ni channels za michezo. Kukiwa na mechi kali wanakufungia ingawa hiyo channel iko kwenye kifurudhi chako.

Yaani hawana heshima kwa wateja wanae desha biashara kihuni tu.

Wakikufungia channel yako umelipia kifurushi ni sawa wanakulazimisha uingie kifirushi cha ghali kwa siku hiyo.
 
Hata wewe unakumbuka leo kulalamika,hapa nipale mliambiwa wawekezaji wananyanyaswa mkasema ni wapiga dili,mkaona mwapore haki ya kurusha local channel na mengine mengi,hapo dawa ongeza na Azam tv dish au antenna ili uchangie taifa lako kwa uzalendo uleule wakupambana na wawekezaji wapigadili.
 
Tulishasema humu dstv ni jipu, kuna jamaa akasema atawafuatilia na kuleta mrejesho humu.......hawawezi kuendesha biashara kihuni namna hii...
 
Dstv wamepanga channels za kila kifurushi. Ila ukisha nunua kifurushi ukicheki unakuta channels nyingi tu kwa mfano kifurushi cha shs 29900 (sasa wamekipandisha kua shs 31000) hawakupi.
Maudhi makubwa ni channels za michezo. Kukiwa na mechi kali wanakufungia ingawa hiyo channel iko kwenye kifurudhi chako. Yaani hawana heshima kwa wateja wanae desha biashara kihuni tu. Wakikufungia channel yako umelipia kifurushi ni sawa wanakulazimisha uingie kifirushi cha ghali kwa siku hiyo.
Achana na dstv family... Lipia compact au compact plus...utaenjoy soka...
 
Dstv ukitaka kuenjoy anza na compact, ukitaka usahau na shida za dunia plus tozo lipia compact plus ukitka uhisi upo peponi na dunia yako lipia champion.
Kila mtu analipia kifurushi kutokana na mahitaji yake, tusipangiane maisha.......vinginevyo waweke hicho kifurushi kimoja ili wote tuwe tunalipia hicho...
 
Dstv SA walituhumiwa kwa rushwa ili kupata tenda na baadhi ya Tv wasipate haki za matangazo ya mechi hata SABC tv ya Taifa niliifatilia nikajua ni wahuni tuu hawafai kuwatumia ndio maana baadhi ya Nchi mkataba ukiisha kuingia wa pili kama copa deray ya Spain sijui kama wameanza kuonyesha na pia kwa SA wanakimbizwa na TV moja ukiwa na bando kidogo tuu unacheki gemu na wamesambaza mkonga hadi mtaani hao wanatubia huku tuu kwao washapotea na watu wengi walikua wanalipa hawajui wanaonyesha nini baasa ya Lockdown kubaki nyumbani kwa muda mrefu ikabidi wapige kelele mpaka wakapunguza na kuongeza channel kwa baadhi ya malipo kidogo ila hao ni wajanja wajanja sana...
 
Dstv wamepanga channels za kila kifurushi. Ila ukisha nunua kifurushi ukicheki unakuta channels nyingi tu kwa mfano kifurushi cha shs 29900 (sasa wamekipandisha kua shs 31000) hawakupi.
Maudhi makubwa ni channels za michezo. Kukiwa na mechi kali wanakufungia ingawa hiyo channel iko kwenye kifurudhi chako. Yaani hawana heshima kwa wateja wanae desha biashara kihuni tu. Wakikufungia channel yako umelipia kifurushi ni sawa wanakulazimisha uingie kifirushi cha ghali kwa siku hiyo.
Kifurushi mfano Cha 29,900/ni ya DStv iliyozidi sh.1,100/ ni tozo ya Serikali,Sasa wizi wa DStv uko wapi?

Tulieni dawa iingie hiyo ndiyo faida ya kuwa na Bunge la kijani.
 
Tulishasema humu dstv ni jipu, kuna jamaa akasema atawafuatilia na kuleta mrejesho humu.......hawawezi kuendesha biashara kihuni namna hii...
Ninasubiri kikao cha bodi cha TCRA ndio shauri langu na DSTV litasikilizwa. Wanatuibia sana hawa watu
 
Dstv SA walituhumiwa kwa rushwa ili kupata tenda na baadhi ya Tv wasipate haki za matangazo ya mechi hata SABC tv ya Taifa niliifatilia nikajua ni wahuni tuu hawafai kuwatumia ndio maana baadhi ya Nchi mkataba ukiisha kuingia wa pili kama copa deray ya Spain sijui kama wameanza kuonyesha na pia kwa SA wanakimbizwa na TV moja ukiwa na bando kidogo tuu unacheki gemu na wamesambaza mkonga hadi mtaani hao wanatubia huku tuu kwao washapotea na watu wengi walikua wanalipa hawajui wanaonyesha nini baasa ya Lockdown kubaki nyumbani kwa muda mrefu ikabidi wapige kelele mpaka wakapunguza na kuongeza channel kwa baadhi ya malipo kidogo ila hao ni wajanja wajanja sana...
Kwenye channel ya kiswahili (160) wanaweka marudio ya michezo iliyooneshwa 2015, kwa wiki unaangalia mchezo huohuo hata mara 4. Hawajali value for money kwa wateja. Ukiwaambia waboreshe maudhui wanapotezea, kazi kuhamisha channel bila taarifa kwenda vifurushi vya juu
 
Dstv ni mataqle. Tumsubirie azam aadvance kidogo. Hawa wahuni watabaki wenyewe qummmqe zao.

Japo kua kuna baadhi ya vitu wako fresh lkn mm namind hapa tuu kwenye chanels za FTA
 
DStv wanalipa zaidi ya Bilioni 300 kwa mwaka kuonesha Premier League alafu unataka wewe uangalie kwa 15000 mzee?
 
Back
Top Bottom