kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Dstv wamepanga channels za kila kifurushi. Ila ukisha nunua kifurushi ukicheki unakuta channels nyingi tu kwa mfano kifurushi cha shs 29900 (sasa wamekipandisha kua shs 31000) hawakupi.
Maudhi makubwa ni channels za michezo. Kukiwa na mechi kali wanakufungia ingawa hiyo channel iko kwenye kifurudhi chako.
Yaani hawana heshima kwa wateja wanae desha biashara kihuni tu.
Wakikufungia channel yako umelipia kifurushi ni sawa wanakulazimisha uingie kifirushi cha ghali kwa siku hiyo.