Kila kitu ni siasaHii inafanya nn huku jukwaa la siasa?
Pengine kwa kuwa ni madhara ya siasaHii inafanya nn huku jukwaa la siasa?
Achana na dstv family... Lipia compact au compact plus...utaenjoy soka...Dstv wamepanga channels za kila kifurushi. Ila ukisha nunua kifurushi ukicheki unakuta channels nyingi tu kwa mfano kifurushi cha shs 29900 (sasa wamekipandisha kua shs 31000) hawakupi.
Maudhi makubwa ni channels za michezo. Kukiwa na mechi kali wanakufungia ingawa hiyo channel iko kwenye kifurudhi chako. Yaani hawana heshima kwa wateja wanae desha biashara kihuni tu. Wakikufungia channel yako umelipia kifurushi ni sawa wanakulazimisha uingie kifirushi cha ghali kwa siku hiyo.
Kila mtu analipia kifurushi kutokana na mahitaji yake, tusipangiane maisha.......vinginevyo waweke hicho kifurushi kimoja ili wote tuwe tunalipia hicho...Dstv ukitaka kuenjoy anza na compact, ukitaka usahau na shida za dunia plus tozo lipia compact plus ukitka uhisi upo peponi na dunia yako lipia champion.
AiseeeNenda ofisi yao ya karibu kawafire wote haswa yule meneja wao masoko mweupe anajifanya chotara piga pumbu
Ww unakaa kwa shemeji unajua nini?Kila mtu analipia kifurushi kutokana na mahitaji yake, tusipangiane maisha.......vinginevyo waweke hicho kifurushi kimoja ili wote tuwe tunalipia hicho...
Sasa wewe unayeishi kwa basha ako ndo unajiona mjanja.....Ww unakaa kwa shemeji unajua nini?
Kifurushi mfano Cha 29,900/ni ya DStv iliyozidi sh.1,100/ ni tozo ya Serikali,Sasa wizi wa DStv uko wapi?Dstv wamepanga channels za kila kifurushi. Ila ukisha nunua kifurushi ukicheki unakuta channels nyingi tu kwa mfano kifurushi cha shs 29900 (sasa wamekipandisha kua shs 31000) hawakupi.
Maudhi makubwa ni channels za michezo. Kukiwa na mechi kali wanakufungia ingawa hiyo channel iko kwenye kifurudhi chako. Yaani hawana heshima kwa wateja wanae desha biashara kihuni tu. Wakikufungia channel yako umelipia kifurushi ni sawa wanakulazimisha uingie kifirushi cha ghali kwa siku hiyo.
Ninasubiri kikao cha bodi cha TCRA ndio shauri langu na DSTV litasikilizwa. Wanatuibia sana hawa watuTulishasema humu dstv ni jipu, kuna jamaa akasema atawafuatilia na kuleta mrejesho humu.......hawawezi kuendesha biashara kihuni namna hii...
Kwenye channel ya kiswahili (160) wanaweka marudio ya michezo iliyooneshwa 2015, kwa wiki unaangalia mchezo huohuo hata mara 4. Hawajali value for money kwa wateja. Ukiwaambia waboreshe maudhui wanapotezea, kazi kuhamisha channel bila taarifa kwenda vifurushi vya juuDstv SA walituhumiwa kwa rushwa ili kupata tenda na baadhi ya Tv wasipate haki za matangazo ya mechi hata SABC tv ya Taifa niliifatilia nikajua ni wahuni tuu hawafai kuwatumia ndio maana baadhi ya Nchi mkataba ukiisha kuingia wa pili kama copa deray ya Spain sijui kama wameanza kuonyesha na pia kwa SA wanakimbizwa na TV moja ukiwa na bando kidogo tuu unacheki gemu na wamesambaza mkonga hadi mtaani hao wanatubia huku tuu kwao washapotea na watu wengi walikua wanalipa hawajui wanaonyesha nini baasa ya Lockdown kubaki nyumbani kwa muda mrefu ikabidi wapige kelele mpaka wakapunguza na kuongeza channel kwa baadhi ya malipo kidogo ila hao ni wajanja wajanja sana...