casperdanielle
New Member
- Dec 20, 2023
- 1
- 0
Dstv wanapaswa kutujali wateja wao. Nmelipa king’amuzi mwezi sasa unaisha lakini kila nikiwasha niangalie naambiwa bad weather na jua hili kali la dodoma bad weather inatoka wapi mwezi mzima?
Nimeleta mpaka fundi ananiambia hakuna tatizo channel moja tu ya supersport blitz ndo inaonesha swala hili limekua kero sana
Nimeleta mpaka fundi ananiambia hakuna tatizo channel moja tu ya supersport blitz ndo inaonesha swala hili limekua kero sana