Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171
Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
That's business mkuu usiwapangie watu Cha kufanya,wakati wewe unalalama na wao wanalia gharama za uendeshaji kuwa juu,hzo chanels unazoziona mpk kukufikia wewe haziruki tu kirahisi rahisi Kama unavyodhani....Hakuna biashara ngumu Kama hyo ya paytv uliza uambiweMwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171
Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
19,000 TshKwan zaman kifurushi cha bomba kilikuwa sh ngap
Mtaweza kulipia ? Azam kwa bei anayotoza kwa mpira ni sawa na bure.Ifike hatua dstv wapewe na license ya kuonesha mpira wa bongo ..sio vile anavyotonesha azam ili kuongeza ushindani maana mechi ya mchana kama jioni.
That's business mkuu usiwapangie watu Cha kufanya,wakati wewe unalalama na wao wanalia gharama za uendeshaji kuwa juu,hzo chanels unazoziona mpk kukufikia wewe haziruki tu kirahisi rahisi Kama unavyodhani....Hakuna biashara ngumu Kama hyo ya paytv uliza uambiwe
Nafikiri sababu ya kuirudisha ESPN SPORTS ndio kuongezeka kwa gharama
Hawa ni wa kuwahama2 hawana jipya zaidi ya unyonyaji tu kwa ss tuwaunge mkono azam hakuna jinsi