Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Ifike hatua dstv wapewe na license ya kuonesha mpira wa bongo ..sio vile anavyotonesha azam ili kuongeza ushindani maana mechi ya mchana kama jioni.
hata dstv hawana vifaa vya kisasa kuonesha mpira wa Bongo vizuri,

ukiona ligi ya uingereza ama Uefa inapendeza usidhani ni kazi ya DSTV bali ni ligi husika zimesharecord wao wanapewa tu video.

ligi yetu ikianzisha mifumo ya kuweka camera za kisasa kwenye viwanja sio Azam tu chanell yoyote itakayochukua haki itaonesha vizuri.
 
Ligi ya South Africa dstv wako na license yote hawanunui matangazo kama ya uefa ua ligi zingine mbona inaonekana vizuri chief.
 
Ligi ya South Africa dstv wako na license yote hawanunui matangazo kama ya uefa ua ligi zingine mbona inaonekana vizuri chief.
mkuu south Africa wameandaa hadi world cup sio wenzetu wale, wanatumia hadi spider cam ambazo zinatumika pia ligi ya uingereza, hivyo bila supersport wana miundombinu tayari,

kwani Azam la liga inaonesha Vibaya?
 
Mwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171

Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
Korona hii ni kushusha bei siyo kupandisha
 
Tokaelfu 44 hadi 49 ni parefu duh... Ila nitarechaji kwakuwa Arsenal anacheza Europa Cup, poa tu

Msimu ulioisha hawakuwa na rights za kuonesha Futuhi sorry, Europa. Sina uhakika kama msimu huu watakuwa wamepata.

So far, kwa ESPN kurudi, binafsi nitakuwa mteja rasmi tena.
 
Ifike hatua dstv wapewe na license ya kuonesha mpira wa bongo ..sio vile anavyotonesha azam ili kuongeza ushindani maana mechi ya mchana kama jioni.
Azam walianza vizuri ila sasa hivi uonyeshaji wao sio mzuri badala ya kuonyesha mpira camera zao zinalenga watu wao mara watuonyeshe wafanyakazi wao hawafahamu wenzao ni muda gani wanaonyesha matukio kama hayo
 
Back
Top Bottom