Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
hata dstv hawana vifaa vya kisasa kuonesha mpira wa Bongo vizuri,Ifike hatua dstv wapewe na license ya kuonesha mpira wa bongo ..sio vile anavyotonesha azam ili kuongeza ushindani maana mechi ya mchana kama jioni.
ukiona ligi ya uingereza ama Uefa inapendeza usidhani ni kazi ya DSTV bali ni ligi husika zimesharecord wao wanapewa tu video.
ligi yetu ikianzisha mifumo ya kuweka camera za kisasa kwenye viwanja sio Azam tu chanell yoyote itakayochukua haki itaonesha vizuri.