Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

nyny pambaneni na Dstv yenu..mm nishahamia Dish la CANAL SPORT...kwa 42000 tu ya kibongo naangalia UEFA, EUROPA,PREMIERE LEAGUE,ITALY,FRANCE,SPAIN...tatizo wanaongea kifaransa...ila kitu ni HD FULL KMA DSTV TU..

Nakipata kwa bei gani? Na malipo yanafanyikaje? Na hizo za kibongo unazipata channel gani? Maana hapa wanarusha Azam pekeee
 
That's business mkuu usiwapangie watu Cha kufanya,wakati wewe unalalama na wao wanalia gharama za uendeshaji kuwa juu,hzo chanels unazoziona mpk kukufikia wewe haziruki tu kirahisi rahisi Kama unavyodhani....Hakuna biashara ngumu Kama hyo ya paytv uliza uambiwe
Hakuna mahali mtoa mada amewapangi.

Alichofanya ni kutu update bei mpya tu.

Then akamaliza kwa kutuomba maoni juu ya bei hizo mpya.

Pengine yeye ni staff wa Multichoice Tanzania anahitaji kuskia maoni yetu walaji....who knows?
 
Ndio sema ni Realtime utofauti ni sekunde tu. Hata ukiangalia Azam ligi ya hapa Nyumbani ni recorded pia.
Thanks for the input mkuu, Chief.

Nipo curious kujua zaidi hii issue ya 'recorded'

Embu tufungue macho zaidi.

Pia, hii ina uhusiano na ile scenario ya matukio kuwa yanatangulia zaidi kwa mtu anayesikiliza EPL kwenye radio Vs mtazamaji?
 
nyny pambaneni na Dstv yenu..mm nishahamia Dish la CANAL SPORT...kwa 42000 tu ya kibongo naangalia UEFA, EUROPA,PREMIERE LEAGUE,ITALY,FRANCE,SPAIN...tatizo wanaongea kifaransa...ila kitu ni HD FULL KMA DSTV TU..
Mkuu Canal sio kwamba wanakubidi uwe kwenye eneo cable yao inapopita?

Mara ya mwisho niliwaona Ushirombo, Geita takriban miaka 4 iliyopita
 
Thanks for the input mkuu, Chief.

Nipo curious kujua zaidi hii issue ya 'recorded'

Embu tufungue macho zaidi.

Pia, hii ina uhusiano na ile scenario ya matukio kuwa yanatangulia zaidi kwa mtu anayesikiliza EPL kwenye radio Vs mtazamaji?

Uwanjani kuna Camera, zile camera zina record tukio halafu video husika inaenda kwenye storage device kama Ni hard disk ama memory card then kutokea hapo inapelekwa kwenye kituo husika na kurushwa hewani ili watazamaji waone. Hivyo tukio la Kurekodi lazima liwepo.

Kuhusu kuchelewa nafikiri ni sababu ya Satelite, Siku zote satelite inakuwa na latency kubwa, video ikifika kituoni irushwe kwenye satelite kwanza mpaka ifike halafu itoke kwenye satelite ije kwenye Dishi lako inachukua muda.
 
Mkuu nimepata Canal Dish na be yao ni laki 300k nimeshawishika kuinunua maana hii Dstv Gharama inanishida kabsa, vip ushawahi kuitumia au kupata changamoto yeyote? Maana nimeona ina sehemu ya HDMI bila shaka ina channel za HD.
 
Canal+ ina Decoder mbili, SD na HD. HD channel zake zote ni HD ndio maana ina HDMI cable wakati SD haina HDMI cable.
 
Mkuu nimepata Canal Dish na be yao ni laki 300k nimeshawishika kuinunua maana hii Dstv Gharama inanishida kabsa, vip ushawahi kuitumia au kupata changamoto yeyote? Maana nimeona ina sehemu ya HDMI bila shaka ina channel za HD.
Kwenye matumizi haina tatizo lolote,karibu Mwaka wa 5 huu naitumia.
 
Back
Top Bottom