Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Bado ligi ya Uingereza Hawajaanza kutoa leseni Hizo kwetu, ngoja tuone mnada ukianza, kikawaida Kusini mwa jangwa la Sahara anauziwa Mtu mmoja tu.Nilisikia sehemu kuwa Canal+ wapo kwenye mchakato wa kuomba leseni kwa ukanda mzima wa East African.
Na ikitokea wameshinda wawili wanagawana mechi mfano enzi za G sport na Supersport.