Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Hii dunia ya sasa bado unanunua midishi ya nn kuweka uchafu nyumbani. Weka list ya timu unazotaka kuangalia weekend nunua bando la voda, mechi ikianza ingia bein sport angalia live sebuleni kwako. Mechi ikiisha chomoa nyaya zako endelea na shughuli. Yanini kuhangaika na kampuni zakinyonyaji hizo. Majuzi nilikua naangali wachezaji wa Boston Celtics wapo nyumbani kwao lakini walikua wanaangalia mechi ya PSG vs Atalanta wameunga laptop kwenye flat wapo online wanaangalia, je majumbani kwao hawana vingamuzi hao. Wewe unalipaje 139000 tsh wakati nyumbani hushindi zaidi ya kuingia usiku na kuangalia mechi jmosi na jpili. Mm binafsi ni serie a na Euro league zote naangalia online bila shida.
Umezungumza ki bachelor sana , ukiwa na familia huwezi ukajifikiria peke yako, Kuna mweingine atapenda Moira ,mweingine mapishi mweingine cartoon and the likes ,
Utqnunua bando la shilingi ngapi kuwa cover wote hao?,
 
Kweli kabisa, kuepuka gharama za dstv itabidi niweke Azam na Canal + hamna namna watoto wangu wajifunze kifaransa tu . Maana DSTV ndio kasababisha nchi hii vingamuzi viwe vingi kwakuendekeza gharama kubwa. Leo hii kifurushi cha premium Nigeria gharama ni ndogo sana tofauti na tz.
 
Naona hii issue ya dstv kupandisha bei naona ni sehem nyingi kweli Nigeria,Kenya,Ethiopia,SA naona kama ni sub sahara yote vile bei zao zimepanda
 
nyny pambaneni na Dstv yenu..mm nishahamia Dish la CANAL SPORT...kwa 42000 tu ya kibongo naangalia UEFA, EUROPA,PREMIERE LEAGUE,ITALY,FRANCE,SPAIN...tatizo wanaongea kifaransa...ila kitu ni HD FULL KMA DSTV TU..
Mkuu hii CANAL unalipataje dishi lao?.
 
nyny pambaneni na Dstv yenu..mm nishahamia Dish la CANAL SPORT...kwa 42000 tu ya kibongo naangalia UEFA, EUROPA,PREMIERE LEAGUE,ITALY,FRANCE,SPAIN...tatizo wanaongea kifaransa...ila kitu ni HD FULL KMA DSTV TU..

Canal wameongeza na ligi ya Bundesliga[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Adjustments.JPG
 
Hata mm nimelipia bei ile ile sema wamedilisha namba mfano Sports bulletin ilikuwa no 200,saa hizi ni 220
Mbona nimelipia mwezi huu sijaona mabadiliko ya vifurushi Septemba hii au itakua effective next month
 
Back
Top Bottom