Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Bomba hata UEFA Ina tupita upande
Sio bomba tu! Hesabu hiyo bomba (19,900/=), family (29,900/=), compact (49,000/=), UEFA unaikuta compact plus (89,000/=)!!!

Akina sisi ambao tumefuata DStv kwa ulevi wa EPL na UEFA tuna tabu sana, hasa ukiweka na uchumi wetu wa kati DHAIFU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Canal sio kwamba wanakubidi uwe kwenye eneo cable yao inapopita?

Mara ya mwisho niliwaona Ushirombo, Geita takriban miaka 4 iliyopita
hawana cable..ni dish bro kama DSTV tu...sema lazma uwe na mtu ambae atakulipia..maana kinalipiwa Congo
 
Hii dunia ya sasa bado unanunua midishi ya nn kuweka uchafu nyumbani. Weka list ya timu unazotaka kuangalia weekend nunua bando la voda, mechi ikianza ingia bein sport angalia live sebuleni kwako. Mechi ikiisha chomoa nyaya zako endelea na shughuli. Yanini kuhangaika na kampuni zakinyonyaji hizo. Majuzi nilikua naangali wachezaji wa Boston Celtics wapo nyumbani kwao lakini walikua wanaangalia mechi ya PSG vs Atalanta wameunga laptop kwenye flat wapo online wanaangalia, je majumbani kwao hawana vingamuzi hao. Wewe unalipaje 139000 tsh wakati nyumbani hushindi zaidi ya kuingia usiku na kuangalia mechi jmosi na jpili. Mm binafsi ni serie a na Euro league zote naangalia online bila shida.
 
Unavyosema ya kuweka uchafu nyumbani wewe una familia? Au unafikiri wote wanapenda mpira? Wengine wanapenda movie, tamthilia, catoon n.k
 
Kuanzia tarehe 1 kutakua na dedicated channels

ROA_Thematic_Packages_1500.jpg

ROA_Thematic_Channels_1500.jpg
 
IMG_0370.jpg

Mpangilio wa Supersport na Kifurushi chake hapa Tanzania kuanzia tarehe 1 September 2020.

Pia utapata channel tofauti tofauti za movie kutoka kwenye kifurushi cha juu kuja kifurushi cha chini, pia channel ya chini inaweza kupanda kwenda kwenye kifurushi cha Juu..View attachment 1546713
 
Mpendwa mteja, ada ya vifurushi vyetu vya mwezi itabadilika kuanzia Sept 1,2020. Premium 139,000, Compact+ 89,000, Compact 49,000, Family 29,900 na Bomba 19,900
 
Back
Top Bottom