Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Nilisikia sehemu kuwa Canal+ wapo kwenye mchakato wa kuomba leseni kwa ukanda mzima wa East African.
Bado ligi ya Uingereza Hawajaanza kutoa leseni Hizo kwetu, ngoja tuone mnada ukianza, kikawaida Kusini mwa jangwa la Sahara anauziwa Mtu mmoja tu.

Na ikitokea wameshinda wawili wanagawana mechi mfano enzi za G sport na Supersport.
 
Uwanjani kuna Camera, zile camera zina record tukio halafu video husika inaenda kwenye storage device kama Ni hard disk ama memory card then kutokea hapo inapelekwa kwenye kituo husika na kurushwa hewani ili watazamaji waone. Hivyo tukio la Kurekodi lazima liwepo.

Kuhusu kuchelewa nafikiri ni sababu ya Satelite, Siku zote satelite inakuwa na latency kubwa, video ikifika kituoni irushwe kwenye satelite kwanza mpaka ifike halafu itoke kwenye satelite ije kwenye Dishi lako inachukua muda.
Saasawa, Chief

Thanks
 
DSTV kama mtu huna uwezo wa kulipia kifurushi cha

Premium na Compact Plus halafu bado unatumia DSTV

Asee wewe ni moja ya wale watu majeuri sio kawaida.

Hahaha mimi hata kile COMPACT ni mtihani kulipia, mwisho wangu ni BOMBA, sasa nimeamua kuhamia Canal+ naenjoy soka safi tena kwa HD.
 
Hahaha mimi hata kile COMPACT ni mtihani kulipia, mwisho wangu ni BOMBA, sasa nimeamua kuhamia Canal+ naenjoy soka safi tena kwa HD.
Mtu mwenye DSTV halafu analipia kifurushi cha BOMBA

hana tofauti na mtu mwenye tv ila hana king'amuzi yeye ana

Flash yake kajaza mamuvi na mamiziki anarudia miziki ile ile kila

akirudi zake kazini na anacheki muvi zile zile kila day iendayo leo.
 
Mwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171

Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
authorities must stop this Multichoice's consumer manipulation immediately..... this increase amounts to bloody daylight robbery!!
 
Back
Top Bottom