DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Naomba kuielewa hii mkuu.
FTA na IPTV ndio kitu gani hiki?
Iptv ni huduma ya television kwa njia ya internet binafsi naifanya,kama una tv smart au hata simu yako hiyo nikutumie test bure kwa masaa 24 baada ya hapo kama utapendezwa ñayo nakuuzi kifurushi cha mwezi kwa Tsh.9,000/= utapata live chaneli 23000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
 
Na quality ya picha inakuwaje!?
 
Nahitaji hii
 
Ok, acha ni Download.
Ila nipo mbali kwa sasa, nikirudi town j4 ntakuchek mkuu.
Ili Nifanyie test kwenye tv moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…