The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Watu tunazo hizo unlimited internet na smart TV bado tunauliza EPL tunatazamaje hatupati majibuMtu ukiwa na unlimited WIFI na smart tv hauna haja kabisa ya kulipia DSTV..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tunazo hizo unlimited internet na smart TV bado tunauliza EPL tunatazamaje hatupati majibuMtu ukiwa na unlimited WIFI na smart tv hauna haja kabisa ya kulipia DSTV..
Iptv ni huduma ya television kwa njia ya internet binafsi naifanya,kama una tv smart au hata simu yako hiyo nikutumie test bure kwa masaa 24 baada ya hapo kama utapendezwa ñayo nakuuzi kifurushi cha mwezi kwa Tsh.9,000/= utapata live chaneli 23000+Naomba kuielewa hii mkuu.
FTA na IPTV ndio kitu gani hiki?
Na quality ya picha inakuwaje!?Iptv ni huduma ya television kwa njia ya internet binafsi naifanya,kama una tv smart au hata simu yako hiyo nikutumie test bure kwa masaa 24 baada ya hapo kama utapendezwa ñayo nakuuzi kifurushi cha mwezi kwa Tsh.9,000/= utapata live chaneli 23000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
Nahitaji hiiIptv ni huduma ya television kwa njia ya internet binafsi naifanya,kama una tv smart au hata simu yako hiyo nikutumie test bure kwa masaa 24 baada ya hapo kama utapendezwa ñayo nakuuzi kifurushi cha mwezi kwa Tsh.9,000/= utapata live chaneli 23000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
Quality inategemea sn na kifaa unachotumia the high the quality the better.ni km Azam anasema HD wkt ww huna hio TV so huwezi pata high resolutionNa quality ya picha inakuwaje!?
Katika hizo chaneli 23000+Na quality ya picha inakuwaje!?
Karibu sana!Nahitaji hii
Hahaha tayari umeisha ingia kwenye mfumo wameuza baadhi ya chaneli tayari kama 4 au 5Na DStv soon watauzwa canal plus
Ok, acha ni Download.Karibu sana!
Download hii app kisha uje inbox nikupe hiyo test ya 24hours
![]()
IPTV Smarters Pro APK for Android Download
IPTV Smarters Pro 4.0.3 APK download for Android. Free IPTV App - Designed for Android Phones, Android Boxes, Fire TV Sticks etc.www.google.com
Sawa! Karibu sanaOk, acha ni Download.
Ila nipo mbali kwa sasa, nikirudi town j4 ntakuchek mkuu.
Ili Nifanyie test kwenye tv moja kwa moja.