BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kuna redio jana nimesikia kabisa wanatangaza kuwa ukitaka mafuta Dar utayapata duka fulani, Mwanza yako kwa fulani, Arusha nk😀😀Akifungiwa na Bulldoza unataka sisi Wazee tukakanyage wapi mafuta 😜
All in all Dini imekuwa biashara inayolipa sana nowadays