BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kuna redio jana nimesikia kabisa wanatangaza kuwa ukitaka mafuta Dar utayapata duka fulani, Mwanza yako kwa fulani, Arusha nkππAkifungiwa na Bulldoza unataka sisi Wazee tukakanyage wapi mafuta π
All in all Dini imekuwa biashara inayolipa sana nowadays
BBC wamefanya uchunguzi wa muda mrefu na wanajaribu kutufungua ss waafrica tuamke toka usingizi wa imaniBBC wakikuandama yani
Af ni uzushi tu
Yaani wenyewe wapo kushadadia ushoga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
BBC wamefanya uchunguzi wa muda mrefu, Na sisi waafrica tupungeze kumuona binadamu mwenzetu kama MunguHii kashfa kama ni kweli ni mbaya sana.
Tulikuwa na imani na TB Joshua, tulifuatilia sana tv yake hadi kuishika screen tukijua ni njia ya kupeleka maombi yetu kwa Mungu.
Waamini tumekufa ganzi sema tunajikaza tu hivyo hivyo.
Na wanapiga hela ndefu sana kupitia hayo mafuta, maji, vitambaa n.kKuna redio jana nimesikia kabisa wanatangaza kuwa ukitaka mafuta Dar utayapata duka fulani, Mwanza yako kwa fulani, Arusha nkππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unashika screen kupitia channel ya TB Joshua ili ujumbe ufike kwa Mungu?Hii kashfa kama ni kweli ni mbaya sana.
Tulikuwa na imani na TB Joshua, tulifuatilia sana tv yake hadi kuishika screen tukijua ni njia ya kupeleka maombi yetu kwa Mungu.
Waamini tumekufa ganzi sema tunajikaza tu hivyo hivyo.
Ogopa kitu kinaitwa Imani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unashika screen kupitia channel ya TB Joshua ili ujumbe ufike kwa Mungu?
Mama hapan hauko serious.
Nyie mliozaliwa baada ya CCM kuja mengi hamyajui, hivi ukiambiwa miaka hiyo kule mbeya tulikuwa tunajaazana kanisani lakini mahubiri tunasikiliza redio ya kakobe na tunaongozwa sala ya toba hapo hapoyaan unashika screen kupitia channel ya TB Joshua ili ujumbe ufike kwa Mungu?
Mama hapan hauko serious.
Hii kashfa kama ni kweli ni mbaya sana.
Tulikuwa na imani na TB Joshua, tulifuatilia sana tv yake hadi kuishika screen tukijua ni njia ya kupeleka maombi yetu kwa Mungu.
Waamini tumekufa ganzi sema tunajikaza tu hivyo hivyo.
Wakati wake bado ukifka shetan atainua mwingineBado mwamposa
JIZIBado mwamposa
Inategemea aliipataje mali na mashart yake ili idumu.Mwafrika akifa anaondoka na vitu vyake, hapo unakuta si mke wala watoto walifundishwa kusimamia hizo mali
Wote boss wao mmoja Big brother ndie boss waoinawezekana hata hio michezo walikua nae pamoja sasa hivi wanamgeuka
Wakishakutumia wanakutema wanainua mwingineElites au kikundi chenye nguvu ya pesa na power wanaotaka mfwate kanuni zao walizoweka...wenyewe ndio huamua ufike wap au usifike wap
Ni sawa ulicho kisema ila Emmanuel TV walisha tanga mda mrefu ya kuwa watasitisha matangazo yao kupitia Multichoice tokea mwaka jana mwezi wa 10 sababu hawakuiseama, Tena walikuwa wana andika kwenye chanel yao.Kampuni ya televisheni ya Afrika Kusini ya Multichoice Africa imetangaza kuwa itasitisha matangazo ya Emmanuel TV, kituo cha kidini inayomilikiwa na marehemu Nabii Temitope Babatunde Joshua, mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations, kuanzia Januari 17, 2024.
Uamuzi huo unafuatia filamu yenye utata iliyorushwa na BBC ikielezea madai ya ukatili na uhalifu wa kingono uliofanywa na T.B. Yoshua.
NakaziaDSTV wametumia kigezo gani kuifungia hiyo channel?
Wamewahi kumuhoji nani wa kanisa la TB Joshua ili kuthibitisha madai ya BBC dhidi yake?
Au kwao, uchunguzi wa BBC ndio final and conclusive usiotakiwa kuhojiwa na yeyote?
DSTV nao wamekurupuka tu, sitashangaa siku za mbeleni wakiirudisha hiyo channel.