DTB FC yabadili jina na kuitwa Singida Big Stars

LUS0MYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
866
Reaction score
1,109
Baada ya kupanda daraja na kuingia NBC premier league klabu ya DTB imebadilisha jina lake na kuitwa SINGIDA BIG STARS. Je, Inahitimisha tetesi kuwa DTB ilikuwa inamilikiwa na Mwigulu Nchemba?

Hakuna conflict of interest kati yake na DTB ambayo ni benki?
 
Tayari utopolo wana point 3 kabla hata ligi ya mwakani haijaanza.Utopolo anaongoza ligi
 
Kivipi ni affiliate au ikiwa hivo nani aliwa mnduku tumpongeze kwa uwekezaji
 

A very poor choice of name
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…