MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
MwiguluKuna uhusiano gani kati ya Singida united, DTB na Singida stars?
Wangeiita Singida stars ingetoshaTimu ya DTB imebadili jina na sasa itajulikana kama Singida Big Stars FC.
Nafikiri sasa wale waliokuwa wana wasiwasi juu ya nani ni mmiliki wa timu hii mtakuwa mshapata majibu.
Singida Big Stars oyeeeeeee!
View attachment 2244398