DTB sasa kuitwa Singida Big Stars

DTB sasa kuitwa Singida Big Stars

Upuuzi wa Mwigulu umerudi tena, utopolo wanashangilia wamepata timu kibaraka wao.
 
Jina sio swala na uwekezaji unaridhisha lakini je wamejiandaa kucheza game ya siasa za soka la bongo ?
 
Duuh kulikuwa na ulazima wakuweka Big stars. Wangeita tu Singida stars ingetosha.
 
Back
Top Bottom