Du ,ama kweli wanaume tunamajaribu makubwa

ajabu yake ,huyo hana tofauti yeyote na mwanamke yeyote hata wale wa manzese pengine bora kuliko hata huyo. mwanamke aliyejitunza ana heshima yake na hajazeeka maeneo fulani.

Acha hizo za kisungura mkuu, kwani ukipewa tonge huli?
 
Acha hizo za kisungura mkuu, kwani ukipewa tonge huli?
huyu jamaa yuko sahihi mkuu huyo dada hana tofauti na walioko kambi ya fisi uko. huyu sio wa kuweka ndani kabisa ata kuchezea ni kuhatarisha maisha yako.
Hute said:
ajabu yake ,huyo hana tofauti yeyote na mwanamke yeyote hata wale wa manzese pengine bora kuliko hata huyo. mwanamke aliyejitunza ana heshima yake na hajazeeka maeneo fulani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu mtaji ni mwili wake kwahiyo lazima ahakikishe mwili upo vizuri ili kuboresha soko.
 
Binafsi hamna anaenivutia zaidi ya mke wangu, vitu vingine vinangaa uku vimeoza. So sichoki kumwangalia mama chanja wangu
Haswaaaa mkuu nami nikimcheki mama chanja wangu sometimes najistukia kuwa ile mistari niliyomchania wakati nafukuzia labda imeeksipaya nitafute mistar mipya, raha saaana
 
Mbona nasikiaga ana mtoto ila hampendi kama nn...eti kamwacha kwa bibi mmoja amsaidie kulea yeye anamtumia tu hela ....
 
Huyu si GINE Huyu .? niliwakuta siku moja pale mwl.NYERERE airpot WANAKULA vyao na Yule msanii wa KIUME wa MUVI ni hatariii yaani wanatumbukizana tu MENO midomoni humo,
 
Yaani huyo atatumika na inaonesha anatumika hadi basi,nidhamu ya matumizi ya mwili wake itarudi pale makunyanzi yatakapoanza kumtokea machoni.Na mbaya zaidi ukute ILISHASOMA kilomita za hatari hadi atakayeoa ashindwe kumridhidhisha ipasavyo maana the way it is used,is the way it expands.Hebu wanaume tufikirie huyu mdada kabla ya Belle 9 hajamwonesha kwetu sisi wanaume na tukamfahamu,alikua wapi na juhudi zipi alizitumia hadi akafika hapo alipo sasa,tukae tukikumbuka hatujui alikotokea huyu mtu
 
Nini hasa inakujaribu hapa, mbona kinyaa tu hapa!!
 
Used spares parts!! Km mia nane na themanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…