Du ,ama kweli wanaume tunamajaribu makubwa

Du ,ama kweli wanaume tunamajaribu makubwa

ajabu yake ,huyo hana tofauti yeyote na mwanamke yeyote hata wale wa manzese pengine bora kuliko hata huyo. mwanamke aliyejitunza ana heshima yake na hajazeeka maeneo fulani.

Acha hizo za kisungura mkuu, kwani ukipewa tonge huli?
 
Acha hizo za kisungura mkuu, kwani ukipewa tonge huli?
huyu jamaa yuko sahihi mkuu huyo dada hana tofauti na walioko kambi ya fisi uko. huyu sio wa kuweka ndani kabisa ata kuchezea ni kuhatarisha maisha yako.
Hute said:
ajabu yake ,huyo hana tofauti yeyote na mwanamke yeyote hata wale wa manzese pengine bora kuliko hata huyo. mwanamke aliyejitunza ana heshima yake na hajazeeka maeneo fulani.
 
Haya mambo unayakuta mjini daslama tu...
Mtoto anamshepu kama chupa ya coca cola ya zamani.
Nyuma anamzigo kama kakalia bekingi poda
Sura inang'aa,miondoko ile wenyewe wanaitaga kati woku...
Upande wa maongezi ndio sasa unachoka...mambo ya okee,faini thenkyu,bonjuu,hauayu.
Dah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu mtaji ni mwili wake kwahiyo lazima ahakikishe mwili upo vizuri ili kuboresha soko.
 
Binafsi hamna anaenivutia zaidi ya mke wangu, vitu vingine vinangaa uku vimeoza. So sichoki kumwangalia mama chanja wangu
Haswaaaa mkuu nami nikimcheki mama chanja wangu sometimes najistukia kuwa ile mistari niliyomchania wakati nafukuzia labda imeeksipaya nitafute mistar mipya, raha saaana
 
Mbona nasikiaga ana mtoto ila hampendi kama nn...eti kamwacha kwa bibi mmoja amsaidie kulea yeye anamtumia tu hela ....
 
Huyu si GINE Huyu .? niliwakuta siku moja pale mwl.NYERERE airpot WANAKULA vyao na Yule msanii wa KIUME wa MUVI ni hatariii yaani wanatumbukizana tu MENO midomoni humo,
 
Yaani huyo atatumika na inaonesha anatumika hadi basi,nidhamu ya matumizi ya mwili wake itarudi pale makunyanzi yatakapoanza kumtokea machoni.Na mbaya zaidi ukute ILISHASOMA kilomita za hatari hadi atakayeoa ashindwe kumridhidhisha ipasavyo maana the way it is used,is the way it expands.Hebu wanaume tufikirie huyu mdada kabla ya Belle 9 hajamwonesha kwetu sisi wanaume na tukamfahamu,alikua wapi na juhudi zipi alizitumia hadi akafika hapo alipo sasa,tukae tukikumbuka hatujui alikotokea huyu mtu
 
Nini hasa inakujaribu hapa, mbona kinyaa tu hapa!!
agnes.jpg

Tanzanian socialite, Agnes Masogange has put on display her $exy curvy hot body, with her tightly jeans she wears as she looked on her photo she shared on her Instagram account, believable! Agnes Masogange has big hips in town and being among the celebs in town.
See more: Trending Eid Mubarak Pics From Bongo Celebs
 
Used spares parts!! Km mia nane na themanini
 
Back
Top Bottom