MKALIMANI NA MUINGEREZA
Muingereza:My name is LivingStone
Mkalimani:Jina langu ni Jiwe Linaloishi.
Muingereza:I was born in New York:
Mkalimani:Nilizaliwa katika Kiini Kipya cha Yai
Muingereza:Then I was transferred to Johannesburg for more research.
Mkalimani:Baadae nikahamishiwa katika Mfuko wa Yohana kwa utafiti zaidi