Du huyu Mkalimani ni mwisho kwa kutafsiri kingereza kwenda kiswahili

bothlegs

Senior Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
122
Reaction score
48
MKALIMANI NA MUINGEREZA
Muingereza:My name is LivingStone
Mkalimani:Jina langu ni Jiwe Linaloishi.
Muingereza:I was born in New York:
Mkalimani:Nilizaliwa katika Kiini Kipya cha Yai
Muingereza:Then I was transferred to Johannesburg for more research.
Mkalimani:Baadae nikahamishiwa katika Mfuko wa Yohana kwa utafiti zaidi
 
😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Back
Top Bottom