Du, Kiduku katoa machozi

Du, Kiduku katoa machozi

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Screenshot_20220527-005931.jpg
Screenshot_20220527-005929.jpg
Screenshot_20220527-010005.jpg

Mikwala kibao kumbe yakuwakuta nao hutoa MACHOZI. Tuache ubabe, Dunia ni mapito
 
Hakuna Binadamu katili,hata Stalin aliumia Sana kifo Cha mkewe kilipotokea na akakiri hapo happy kwamba licha ya kwamba Ana moyo wa jiwe ila yule mwanamke aliuteka moyo wake
 
Dah... ! Kumbe hayatuhusu.! Mi nikaja mbio kudhania kiduku Wa Mrogoro..! Bw.Twaha..!
 
Covid ndio imeiingia huko....
Ndio ni jinsi gani hii nchi ni kaburi lililo na mlango...
 
Kiduku na ule uzito na kimo chake anaogopa hata kuvaa barakoa asije kushindwa kupumua.
 
Naona na yeye analeta Jeuri za kudharau barakoa! Mwambie wapo walodharau mda huu wako wanaongoza malaika kufanya usafi
jenga tabia ya kutawadha baraabara baada ya haja kubwa inaongeza umakini katika maisha.
 
Back
Top Bottom