Dua la kuku halimpati mwewe wahenga walisema

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ex wangu natamani upigiwe simu njiani, Ukipokea kibaka akupore simu, Ukianza kumkimbiza ugongwe na gari🚘
Ije Ambulance🚑 ikubebe ifike Darajani idondoke wenye Makorongo upasuke kichwa ubondeke bondeke huko uliwe na Samaki🐟.
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike Jikoni nisinzie Samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na Paka🐱, Paka naye alishwe Sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!!!😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ex wangu natamani upigiwe simu njiani, Ukipokea kibaka akupore simu, Ukianza kumkimbiza ugongwe na gari🚘
Ije Ambulance🚑 ikubebe ifike Darajani idondoke wenye Makorongo upasuke kichwa ubondeke bondeke huko uliwe na Samaki🐟.
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike Jikoni nisinzie Samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na Paka🐱, Paka naye alishwe Sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!!!😁
Alichokufanya mtoto wa watu?
 
Ex wangu natamani upigiwe simu njiani, Ukipokea kibaka akupore simu, Ukianza kumkimbiza ugongwe na gari[emoji593]
Ije Ambulance[emoji603] ikubebe ifike Darajani idondoke wenye Makorongo upasuke kichwa ubondeke bondeke huko uliwe na Samaki[emoji226].
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike Jikoni nisinzie Samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na Paka[emoji192], Paka naye alishwe Sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!!![emoji16]
Dah...unachokisahau hata acetoxybenzoic acid (C9H8O4) ni ex wa mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Ex wangu natamani upigiwe simu njiani, Ukipokea kibaka akupore simu, Ukianza kumkimbiza ugongwe na gari[emoji593]
Ije Ambulance[emoji603] ikubebe ifike Darajani idondoke wenye Makorongo upasuke kichwa ubondeke bondeke huko uliwe na Samaki[emoji226].
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike Jikoni nisinzie Samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na Paka[emoji192], Paka naye alishwe Sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!!![emoji16]
KUFA KUFAANA.
 
Ex wangu natamani upigiwe simu njiani, Ukipokea kibaka akupore simu, Ukianza kumkimbiza ugongwe na gari🚘
Ije Ambulance🚑 ikubebe ifike Darajani idondoke wenye Makorongo upasuke kichwa ubondeke bondeke huko uliwe na Samaki🐟.
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike Jikoni nisinzie Samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na Paka🐱, Paka naye alishwe Sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!!!😁
Nimecheka
Hii roho ya namna hii kha!
 
Nimecheka
Hii roho ya namna hii kha!
Nimemuelewa kama ndiye alikuwa mlipa chumba na mnunua kopo la mkaa asubuhi lazima upandishe hasira hizi. Mji mzito huu.
 
Back
Top Bottom