Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ex wangu natamani upigiwe simu njiani, Ukipokea kibaka akupore simu, Ukianza kumkimbiza ugongwe na gari🚘
Ije Ambulance🚑 ikubebe ifike Darajani idondoke wenye Makorongo upasuke kichwa ubondeke bondeke huko uliwe na Samaki🐟.
Samaki avuliwe na Mvuvi aniuzie mimi, Nimuoshe nimbandike Jikoni nisinzie Samaki aungue nimtupe jalalani aliwe na Paka🐱, Paka naye alishwe Sumu huko Afe...
Yaani utakufa Vibaya we Mbwa...!!!😁