Dua nzito kwa wanaume wote yapigwa leo - LICKYLINE

Dua nzito kwa wanaume wote yapigwa leo - LICKYLINE

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
luckyline , asante sana kwa dua, sala na maombi haya.

Mungu Baba katika jina la mwanao Bwawa wetu Yesu Kristo nakuja kwako kwa maombi maalumu.

Nawaombea wanaume wote ulimwenguni wanyime vyote, ila usiwanyime hivi vitu viwili;

1. Nguvu za kiume.
2. Vipesa vya matumizi visivyo vya kusuasua.

Mungu no 1 & 2 viwe sambamba, kisikose kimojawapo.
Amina.
 
Umeona katibu wa Masanja kafaidi eeh, sasa na wewe unataka kufungua la kwako ukijiita Nabii na Mtume, Dk. Bujibuji holy fire temple
 
Kwahiyo kwa case ya Masanja unajaribu kutuambia nini? Kwamba show mbovu?

Wanawake ni more complicated than that, usiwasikilize wanachokisema wanataka
 
Binadamu wapo normal and abnormal.

Inatakiwa uwe Normal ukienda abnormal ni shida.

Wewe ni normal inatakiwa uoe/uolewe na normal mwenzako.

Kama wewe normal ukoa/olewa na abnormal hapo shida lazima itokee.

Nitakupa wa kufanana nae(pipa na mfuniko).

Shida inakuja una pipa halafu unataka ufunike kwa kizibo cha kisoda au una chupa ya soda unataka ufunike na mfuniko wa sufulia.
 
Umeona katibu wa Masanja kafaidi eeh, sasa na wewe unataka kufungua la kwako ukijiita Nabii na Mtume, Dk. Bujibuji holy fire temple
Aisee.... haya mambo ni hatari sana, watu wengine hatuna upako wa kufanya huduma ya kanisa, tuna upako maeneo mengine kabisaaaaa
 
Sawa haina shida. Enjoy✌️
Maisha yako deadly serious, kila siku hali ni mbaya zaidi ya jana. Hapa ndio sehemu pekee ya ku discharge negative energy tunazozipata kutokana na ugumu wa maisha.

Namshukuru sana Maxence Melo, kwa ajili ya jamvi hili, vinginevyo idadi ya machizi nchini ingekuwa mara dufu
 
Back
Top Bottom