Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ujinga umekuzidi sasa punguzaluckyline , asante sana kwa dua, sala na maombi haya.
Mungu Baba katika jina la mwanao Bwawa wetu Yesu Kristo nakuja kwako kwa maombi maalumu.
Nawaombea wanaume wote ulimwenguni wanyime vyote, ila usiwanyime hivi vitu viwili;
1. Nguvu za kiume.
2. Vipesa vya matumizi visivyo vya kusuasua.
Mungu no 1 & 2 viwe sambamba, kisikose kimojawapo.
Amina.