Ujinga umekuzidi sasa punguzaluckyline , asante sana kwa dua, sala na maombi haya.
Mungu Baba katika jina la mwanao Bwawa wetu Yesu Kristo nakuja kwako kwa maombi maalumu.
Nawaombea wanaume wote ulimwenguni wanyime vyote, ila usiwanyime hivi vitu viwili;
1. Nguvu za kiume.
2. Vipesa vya matumizi visivyo vya kusuasua.
Mungu no 1 & 2 viwe sambamba, kisikose kimojawapo.
Amina.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣luckyline , asante sana kwa dua, sala na maombi haya.
Mungu Baba katika jina la mwanao Bwawa wetu Yesu Kristo nakuja kwako kwa maombi maalumu.
Nawaombea wanaume wote ulimwenguni wanyime vyote, ila usiwanyime hivi vitu viwili;
1. Nguvu za kiume.
2. Vipesa vya matumizi visivyo vya kusuasua.
Mungu no 1 & 2 viwe sambamba, kisikose kimojawapo.
Amina.
Dua yako imetaradadi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unaumizwa na nini wakati kuna ignore list. Wee bofya kitufe, kwako hutoona chochote kutoka kwangu. 🤣 au na ushauri huu unakuvurugia ijumaa yako?Ujinga umekuzidi sasa punguza