Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

Mimi nataka fedheha mojawapo ya kuipata ni kuwa kama mhusika wa kuiba haki ya uchaguzi huu ni mwanaume basi akose nguvu za kiume na adharauliwe na mkewe kuwa siyo mwanaume kamili hata kama ni tajiri na ana mavyeo makubwa kiasi gani!
Yani wewe unataka? Hivi mnafikirii huyo Mungu ni Amsterdam?
 

Amesema atakayevuruga matokeo, hajataja nani! Bila kujali mrengo wa kisiasa sasa boriti na vibanzi vimekujaje?
 
Watanzania tumekuwa wajinga kupitiliza sasa! Hivi mwamakula anaweza kumlaani mtu? Tena kibali cha kutoa laana anakitoa wapi? Mmmh ngoja tuzione hizo laana.
 
Hana DUA YEYOTE HUYO
 
Upuuzi mtupu. Dua la Kuku halimpati mwewe. Huyu askofu ni mchumia tumbo.Imeandikwa, laana isiyo sababu haimpati mtu.
 
Matamko yamekuwa mengi sana. Ifike wakati tusomewe matokeo sasa tupumzike.
Kufanya dua siyo tamko, sijui kama unapofanya ibada nyumbani kwako ina maana unatoa tamko...
 
uzuri wa maombi huwa mnasahau kwamba yakikosa waliovuruga kwa makusudi yanarudi kwa wale wanaopanga fujo za kusudi,kutukana na kutengeneza uongo na kutumika na mabeberu kwa nia ovu
 
Kufanya dua siyo tamko, sijui kama unapofanya ibada nyumbani kwako ina maana unatoa tamko...

bado hujajua kama ukisali unatoa tamko???

kusema Mungu atatenda ni tamko hilo,ukiachana na mengine kama kusema atakayedhurumu na apate laana.
 
Bwana huwapatiliza wana wa uovu kuanzia kizazi cha kwanza hadi kizazi cha Nne. Neno la Mungu linaishi. Asante Askofu Mwamakula
 
uzuri wa maombi huwa mnasahau kwamba yakikosa waliovuruga kwa makusudi yanarudi kwa wale wanaopanga fujo za kusudi,kutukana na kutengeneza uongo na kutumika na mabeberu kwa nia ovu
Ndio itafahamika.
 
Na watu wote waseme Amen/Amin.

Haki huinua Taifa.

#CCM is my party, I like it. But I don't embrace the evil deeds!!
 
Hakuna askofu hapo
Khaaaaaaa wewe kiboko, nilijua huku kwenye hizi laaana hutaingia, kumbe unachungulia
"Mungu Baba uliyeketi katika kiti cha enzi huko juu umlaani Bia yetu yeye na kizazi chake na wenzake wote wanaoshabikia dhuluma hata kutufungia mawasiliano kwa nia ya kuiba Kura tu ili waendelee kusaza na mkumwaga, uwalaani hadi vizazi vyao vya 4
-Askofu Mwamakula
 
Huyajui maandiko. Unachokisema kama ingekuwa hivyo, kusingekuwa na maombi yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…