Dua ya kuiombea Simba Sc ushindi mechi ya leo

Huyo Mungu wa kusililiza dua wa wacheza kandanda wa afrika ni wa wapi?
Wachezaji wanavaa mairizi makubwa , uwanjani anafanya alichoelekezwa na mganga na sii kocha, Mungu wa wapi anapenda mchanganyo a.k.a shirk?
 
Kwani ile kamati ya ufundi inayoongozwa na Mzee Kilomoni na Gentamicin wao wanasemaje?. Kaduguda si yupo tayari kufanywa chochote ili Timu itwae ubingwa wa Afrika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…