Dua ya kuiombea Simba Sc ushindi mechi ya leo

Dua ya kuiombea Simba Sc ushindi mechi ya leo

View attachment 2124744

"Eeh Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema muumba wa mbingu na dunia. Tunakuomba uifanyie wepesi timu ya Simba wawakilishi wa Tz iweze kupata ushindi jioni leo"

"Its you our LORD we worship and its you only we ask for assistance. God we beg you to bless Simba SC"

Ameeeeeeeeen

Mungu Ibariki Simba Sc, Mungu ibariki Tanzania
Huyo Mungu wa kusililiza dua wa wacheza kandanda wa afrika ni wa wapi?
Wachezaji wanavaa mairizi makubwa , uwanjani anafanya alichoelekezwa na mganga na sii kocha, Mungu wa wapi anapenda mchanganyo a.k.a shirk?
 
Kwani ile kamati ya ufundi inayoongozwa na Mzee Kilomoni na Gentamicin wao wanasemaje?. Kaduguda si yupo tayari kufanywa chochote ili Timu itwae ubingwa wa Afrika!
 
Hii hapa

194284e4a05241528346fc22f4975586.jpg
 
Back
Top Bottom