ngoja tuone.Floyd lazma akae.
Kwa EAT itakua ni saa kumi na mbili asubuhiWakongwe hivi kwa saa zetu za Africa mashariki pambano hilo litakua saa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
JAMAAAAAANI MPAMBANO SAA NGAPI
we inaonekana huzijui ngumi na upo shallow sana, unasema gregory kapigwa sana sio kweli kapigwa mara moja tu,halafu mayweather kusema anaweza kupigwa ni danganyatoto.wenzetu wanajua biashara kama angesema atashinda kirahisi nadhan pambano lisingevuta hisia za watazamaji,pia kumbuka ye mwenyewe ndo promota
Oscar de la hoya ? Si kweli!huwezi jua lolote linaweza kutokea.
Pacquiao alimpiga mara tatu Oscar De la Hoya, lakini mara ya nne alipigwa kwa knockout mbaya sana mpaka watu walihisi huenda amekufa maana alilala muda mrefu sana bila kuonesha ishara ya kuwa hai.
Mkuu huo ndio utambulisho wake huyo mywetherMywether nataka atandikwe aache ushamba. .mara kutembea na pesa na kupga nazo pcha mara msururu wa mabounser. ..aige wenye Pesa kina Jayz .$810 milion..P DIDY .$820 milion..yeye ata nusu ajawafkia ana $340 milion ila kila siku ni pcha kama demu na vinoti..wazungu wataendelea kutuacha tu huwez kukuta kna Bilget. .na vijana kama kna Neymar .. messi ..Ronaldo na wengne kwenye huu upuuz...wapo cool wakat pesa wanazo
Unyama wake ni hizo saa na series ya Bugatti anazopaki?
sio kirahisi hivyo.Mkuu huo ndio utambulisho wake huyo mywether
nina wasiwasi na hili pambano wazungu wanataka
kufanya yao hapa. Mtaniambia hii ngoma floyd
anapigwa.