Dua za dhati kwa swahiba wangu Floyd Mayweather

Dua za dhati kwa swahiba wangu Floyd Mayweather

0823_conor_mcgregor_floyd_mayweather_money_belt_wbc_4.1503524915.jpg
 
we inaonekana huzijui ngumi na upo shallow sana, unasema gregory kapigwa sana sio kweli kapigwa mara moja tu,halafu mayweather kusema anaweza kupigwa ni danganyatoto.wenzetu wanajua biashara kama angesema atashinda kirahisi nadhan pambano lisingevuta hisia za watazamaji,pia kumbuka ye mwenyewe ndo promota

Wewe ndio hufuatilii sanaa hii ya mapambano....Conor amesubmit mara tatu na leo itakuwa ya nne
 
floyd ananiboa ulimbukeni wake wa pesa,pamoja na kuniboa nataka amtandike mzungu kwa knock out kali..go ahead.call me racist.
 
Mywether nataka atandikwe aache ushamba. .mara kutembea na pesa na kupga nazo pcha mara msururu wa mabounser. ..aige wenye Pesa kina Jayz .$810 milion..P DIDY .$820 milion..yeye ata nusu ajawafkia ana $340 milion ila kila siku ni pcha kama demu na vinoti..wazungu wataendelea kutuacha tu huwez kukuta kna Bilget. .na vijana kama kna Neymar .. messi ..Ronaldo na wengne kwenye huu upuuz...wapo cool wakat pesa wanazo
Mkuu huo ndio utambulisho wake huyo mywether

nina wasiwasi na hili pambano wazungu wanataka

kufanya yao hapa. Mtaniambia hii ngoma floyd

anapigwa.
 
Jamaa ana kichwa kikubwa lazima makonde mengi

ya mywhether yata- land kwenye hiyo sura yake
 
Back
Top Bottom